Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Naskia harufu ya utapeli hapa πππππBiashara ya chenji inalipa balaa
Na ina viungo vikali balaa kama pilau la leoNaskia harufu ya utapeli hapa πππππ
Et tuuze chenji ahahahaha daaahNa ina viungo vikali balaa kama pilau la leo
Hawa ndo kwenye shughuli ya mwenge au mazishi wanakuja na shati la chama viposhoposho iviEt tuuze chenji ahahahaha daaah
Usiwe na hofu kijana, we pita mtaani tu.ππππππ Star wa vingunguti..
Nataka ututafutie hawa jamaa sasa ili tukupe jina la 007 sasa
πππππ Never happen...Usiwe na hofu kijana, we pita mtaani tu.
Hii ni operation maalumu ya kupunguza vitombitombi kama wewe.
Hahahah pamoja na haya matishio bado unashenyenta???πππππ Never happen...
Kila siku kuna jirani anakuja kunikagua hapa kwa kunipa utamu
Daily...Hahahah pamoja na haya matishio bado unashenyenta???
Acha nitume kijana akushike bega, we dogo una jeuri sana.Daily...
Hapa tuu mmoja kalal kachoka ndo napata mda wa kuperuzi
πππππ
Duuhilikuwa inagoma naona wameifunglia vizuri
Hivi ulisema upo Mbeya sehemu gani vile?Daily...
Hapa tuu mmoja kalal kachoka ndo napata mda wa kuperuzi
πππππ
πππππ Giiiii...Acha nitume kijana akushike bega, we dogo una jeuri sana.
UyoleHivi ulisema upo Mbeya sehemu gani vile?
Kizazi na toleo jipya la chawa limeibuka na kumuibua chawa konki Lucas MwashambwaKila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliwakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?π
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Was like/Mualike..πͺπΏπ₯
Hata zile couple mpya piaπView attachment 3568009
Inawezekana johnthebaptist kafaππΏπππΏJF haijabadirika kwa malengo yake. Kinachobadirika na teknolojia, watu pia hubadirika, hali za kisiasa, kijamii zinabadirika pia.
JF inahitaji ubunifu zaidi iendane na hali halisi kila uchao, hii ni "Consumer Product" lazima iendelee kuwa na ubunifu hasa ukizingatia technolojia ya habari inakuwa kila siku. Angalia Facebook, kila uchao wanabuni hiki mara kile, wangezubaa FB ingeweza wafia. Maana zinazaliwa social platforms kila uchao na zinashika watu.
Mfano hizi forums za Zimbabwe, Kenya, Uganda, JF wanatakiwa wazifanyie kazi zianze kufanya kazi. Mitaji ya hii mitandao ni watu wanaoitumia. Watu wengi, ndio ubora na mapato ya platforms.
Ule ubunifu wa mashindano, kuiunga JF na platforms zungine kushare habari, ufichuzi wa uovu, fact check ulikuwa mzuri na umeisaidia sana JF kuenda na kasi ya ukuuaji.
Ubunifu uendelee, JF itabaki kuwa relevance kwa miaka mingi.
Ndani ya mada: Mimi naona min -me, Seran leo dada wanafanya vizuri. Hapo nyuma kulikuwa na Joseverest ila naona kapotea.
Nakusalimia Mkuu