Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ni vema kuwe na familia mpya tena.. Ila tatizo siku hizi vijana hawataki ndoaπŸ˜‚

Nani atafungua pazia la familia mpya?
 
Vizazi vya JF
JF ya JK
First half kuzaliwa na kukua
Second half.. Bata, shangwe za kila aina.. Chitchat ilibamba sana..
Uhuru wa mijadala ya siasa, minyukano. Viongozi wengi walitokea huku

JF ya JMP
Chitchat ikaanza kupoa
Siasa zikawa za machale.. Mada zinaandikwa kwa codes sana
Mapambano ya uhuru wa habari yalianzia hapa
Intelligence ilikamata chat
Celebrities na MMU pia

JF ya SSH
First half
Mashingilio lakini na sintofahamu nyingi..
Mapambano ya demokrasia
Second half
Vitasa kama vyote
Kaburi la celebrity
Forum kupoa sana😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…