ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hivi hujui huyo ni baba angu kwahiyo unaamini kuna mzazi atakupa binti yake kihilela hivyo๐๐Kazi yake ameimaliza kilichobakia ni mimi kupambania tu
We endelea kutokujua ๐
Kwani sio mbabe?Hahah halafu mtu akikusoma una sound kama m babe flani hivi๐
Hakuna mahali utapokea ๐Hapana, naongea ukweli tu
Hahaha kapole hivyoKwani sio mbabe?
Hivi unahisi mzazi mwerevu na mnywaji kama min -me anaweza kumkataa kijana mstaarabu kama mimi ๐๐๐Hivi hujui huyo ni baba angu kwahiyo unaamini kuna mzazi atakupa binti yake kihilela hivyo๐๐
Huyo anakujaza ana jua mimi sijihusishi na mapenzi we haya usiseme hukuambiwa
Usikute hapo kalewa ikifika mchana atakukataa hutaamini๐Hivi unahisi mzazi mwerevu na mnywaji kama min -me anaweza kumkataa kijana mstaarabu kama mimi ๐๐๐
Since when?Hahaha kapole hivyo
Kingereza tena! mpaka nilewe ๐Since when?
Mlevi hutoa mawazo ya Busara na muhimu zaidi Kwahiyo inabidi tukubaliane nae ๐Usikute hapo kalewa ikifika mchana atakukataa hutaamini๐
Na kweli sijui hata nikiambiwa sikubari๐โโ๏ธMlevi hutoa mawazo ya Busara na muhimu zaidi Kwahiyo inabidi tukubaliane nae ๐
Me mwenyewe aliniambaga siku nikikwambia oa huyu oa kijana wangu neema imeanguka kwako ila tatizo hujui ๐
Unaweza kukubali na usijue kama umekubali maana hujui ๐Na kweli sijui hata nikiambiwa sikubari๐โโ๏ธ
Hmm mi sio mpole, ukijichanganya sikuchekei..Kingereza tena! mpaka nilewe ๐
Unanitisha?๐Hmm mi sio mpole, ukijichanganya sikuchekei..
Uzuri unanijua vizuri, I donโt sugarcoat anything lolUnanitisha?๐
Tumekubaliana usiongee kingereza ujueUzuri unanijua vizuri, I donโt sugarcoat anything lol
weka namba tufanye jambo๐Ntumie ela ya JD mchungaji๐
๐๐๐ana id mpyaDah
Nimemkumbuka Demis
Ila huyo dada๐๐๐๐ana id mpya
hivi kuku na sungura mtamu wa ladha ni yupi,pale goba kuna mama mmoja anauza sungura nataka niwe mteja wake nasikia sungura utamu wake kuku anasubiri