Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

JF imebadirika sana.
Siku hizi naona kama imepoa.

ENzi najiunga kila jukwaa ni pamoto

Jukwaa la dini unakuta kuna msabato "mitale na midimu " wanabishana na mkatoriki " otoron'gon'go.

Jukwaa la MMU
Kwa mto pia ukikaa vibaya unapigwa

Mara akaja Ontario, na ishu zake za kilimo , huku " Biashara ambayo mabenki hawataki uijue"
 
Hahahahaaa ila mkweeee, inaonekana humu kuna mema ya nchi mnajikia wenyewe sio? wengine hatujapewa jicho la tatu tuweze kujionea ududu wa humu๐Ÿ˜‚
๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
Alishindwa kuhimili mtoto wa tandale akasema AWEEE SIMBA DANGOTE .

mkwe utaniuwa mimi leo umenivunja mbavu haswa ,ila kula raha mkwe ikiwa muda ungalipo .

Hii vita ya wavaa buti mkwe je ina mwisho mwema au kuna kuitana parade kusutana ?
 
Bwahahah, msiwe mnapeana peke yenu, sisi tunakuwa watizamaji bila vinywaji!๐Ÿ˜…

Mimi leo sitoki online, nijue mbivu na mbichi๐Ÿ˜ƒ
 
Bwahahah, msiwe mnapeana peke yenu, sisi tunakuwa watizamaji bila vinywaji!๐Ÿ˜…

Mimi leo sitoki online, nijue mbivu na mbichi๐Ÿ˜ƒ
Natamani muanzisha mada aifute mada alafu wachangiaji wote wapotee ila ndiyo vile haiwezekani yaani tumbo joto ,kila muda notification inakuja Seran nasema alhadulilah ila mh sijui .

Kikubwa kapresha kangu nimepima kako sawa wacha niendelee kuhimili ila jua napumulia mipira mwenzenu yamenifika hapa .๐Ÿ˜€
 
Hahahahhaah isifutwe bwana wengine tuko idle! Una majanga gani mkwe kwanini pressure juu juu hivi mkwe?๐Ÿ˜…
 
Kwanini una presha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ