MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Kila nikiwaza haya yanayoendela ya kushikqna mabega naishiwa nguvu kabisaHahahahhaah isifutwe bwana wengine tuko idle! Una majanga gani mkwe kwanini pressure juu juu hivi mkwe?😅
Yaani nilipo ndugu yangu watu wanashikana sana mabega mpaka naogopa nawaza itakuwaje nikishikwaKwanini una presha?
Hahahaaa unanifurahisha unavyocheza kama pele mkweee👯♂️Kila nikiwaza haya yanayoendela ya kushikqna mabega naishiwa nguvu kabisa
Nilikua nawaoa humu tu mkuuhujabahatika wa kuoa humu miaka yote hii legend😁😁
KuuuumbeeeNilikua nawaoa humu tu mkuuView attachment 3568417
Sasa dad mkwe mwenyewe hapa si unamtisha jamani na hayo mapicha picha jamani😂😂
We mzee unipigie basi unipe habari zilizonyooka😅..koooo😂
JF imebadirika sana.
Siku hizi naona kama imepoa.
ENzi najiunga kila jukwaa ni pamoto
Jukwaa la dini unakuta kuna msabato "mitale na midimu " wanabishana na mkatoriki " otoron'gon'go.
Jukwaa la MMU
Kwa mto pia ukikaa vibaya unapigwa
Mara akaja Ontario, na ishu zake za kilimo , huku " Biashara ambayo mabenki hawataki uijue"
Boda tena🤣 acha basiUmenipa ya bodaa😂