Naam!! Legendary mwenyewe
Hii mbona mashine?
Wachungaji wa sikuhizi matapeli sana!Lazima atoe faini😀
Binafsi sijawahi, nimebaki kucheza na Wajukuu tumsiwape nguvu zenu wanawake msimame kiume😂😂
Yaani hatuna kabisa hizo nguvu Mzee mwenzangu 🤗Hapo ndio nawashangaa!!
Kwa kweli Melo aongeze ulinzi kwa sisi Wazee, tunasingiziwa mengi sana na Vijana humu 🤗Sijawahi kukagua mjukuu yoyote humu, wazee tunasingiziwa mengi. 😀
Unaumwa magonjwa ya watoto kijana😂😂😂😂😂 Giiiii...
Mkuu mi siogopi. Sema nipo kwa dozi ya maralia hapa ujue
Hmm tena kama wewe😂Ila Mimi sio mmojawao😀
No comment….Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Nakubali mkuu.. Siku moja nmetoka kukuongelea ukapiga niliogopa sana🤣Trust me.. Mimi ni mtu mwema mno
View attachment 3568946