Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..

Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote

Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.

Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
 
Jipya litakuaje kama haulileti wewe mkuu
 
pia watu wengi walijiunga 2015 kipindi kile cha harakati za lowasa kule ccm na chadema.

jf imepitia misimu mingi ila msimu huu wa 2025 kuja 2026 ni wa kipekee aisee
 
Ila kama unakumbuka Mimi ndio nilikuwa mlezi wa makapuku
 
Jamii forum ipo vizuri mpaka sasa , hiyo ya zamani na sasa ni sawa tu, unakuta mtu analalamika ya zamani ilikua nzuri na nyuzi za moto , as if yeye alisha kufa asishushe hizo nyuzi za moto.


Kama jf kuwa na nyuzi za hovyo wote ni sababu ya kuwa hivyo hakuna wakutupia lawama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ