Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

2e4ed4c7-a8a8-4482-bc51-b53ed6063297.jpeg
 
Makapuku forums akina Bitoz na Jimena sio kipindi chako mkuu Mshana,hiki ni kipindi chetu sisi 2015 ndicho kipindi waanzilishi wa hizi nyuzi tulijiunga nao pamoja na tukawa tuna bifu sana na nyie wakongwe nakumbuka wewe ID yako ni ya 2012 au 2013..Kubwa zaidi enzi hizo wakongwe mlikuwa mnabagua sana mtu anaanzisha uzi nzuri anashusha nondo badala ya kuchangia kulingana na mada husika mnaitana mnakuja kuoiga story kwenye uzi wa watu..

Kizazi cha 2015 to 2018 kulikuwa na nyuzi bora sana nadhani kuliko kipindi chote

Ikaja kizazi cha 2018 mpk 2021 hapa napo kulikuja na watu kama kina Exotrovert,Cocastic na wengine baadhi ya wengi walifanya vizuri
Ila kuanzia 2023 mpaka 2026 tumeshuhudia JF ya hovyo sana haina hata mvuto,hupati zile mada za Intelligence za kina The bold na zitto Junior tena,Celebrity forums kuna ishu nying zinatokea lakn hakuna update yoyote.

Mfano leo tunaongea kuna ishu ya Nikki wa pili,kuna ishu za kina Diamond na mambo kibao lkn jukwaani kuna mada zinafufuliwa za 2007 ukienda JF intelligence hakuna jipya..Jf its over
Jukwaa la chini unakutana na msafwa ilikuwa sio poa mwanangu
 
Kabisa jamiiforums jamiiforums kila siku , nilikua na I'd ya 2012 mambo ya hovyo yalikuwepo tu , watu wamechakatana na kuumbuana vibaya sana , wanawadanganyeni tu 😅
Ilikuwa moja ya vimbwanga vinakufanya masaa matatu upo kwenye app moja tu ya jf, unapokea simu, unajibu meseji, unarudi humu kutwa nzima
 
Back
Top Bottom