Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Tupo swahiba.
Majukumu tu yamekuwa mengi mno.
Asante sana kwa kutukumbuka.❤️
Tupo swahiba.
😄😄😄Imagine binamu Madame B akileta story zake anavyopenda mchezo ule..noma sana😅
Na Bantu Lady Je?Inawezekana johnthebaptist kafa🙌🏿😭🏃🏿
Yuko hai bukheri wa afyaNa Bantu Lady Je?
Pole na karibu tena😄😄😄
Kwa sasa nimekua na kukomaa mwaya.
Sema sahv nashindwa kujiachia kutokana na sababu ndogondogo.
Sema JLW ndio chanzo cha mie kuwa kimya miaka kadhaa
Kuna changamoto ilitokea, ikabidi niwe nje ya jukwaa miezi kadhaa.
Hata hivyo.....🤔, sawa. Tuko pamoja kiongozi.
🫰Hello daughter😎
Karibu sana binamu, umepotea hadi umesahau ndugu zako.😄😄😄
Kwa sasa nimekua na kukomaa mwaya.
Sema sahv nashindwa kujiachia kutokana na sababu ndogondogo.
Sema JLW ndio chanzo cha mie kuwa kimya miaka kadhaa
Kuna changamoto ilitokea, ikabidi niwe nje ya jukwaa miezi kadhaa.
Hata hivyo.....🤔, sawa. Tuko pamoja kiongozi.
Hapana sio mimi, huyo alikua Heaven on EarthUle Uzi ulikua Bora sana alikuaga anaweka na updates za picha kwa Kila hatua aliyofika..
Anaitwa Evelyn Salt kipindi icho nasoma ule Uzi nimetoka kufirisika l, umri mdogo alafu sielewi ata kesho yangu itakuwaje
Mkuu kwema lakini..Huko ndio ukishikwa tu begani nyeti zinayeyuka?
We kijana umetoka wap 😂😂Mkuu kwema lakini..
Karbu uyole huku hayo mambo hakuna ila tunajikinga tu
😳😳😳 Weweee eeeh umesemaBaki hivyo hivyo, nataka kufikia mwakani niwe napeleka chenji china
Yooo DadChupa ya maajabu😎View attachment 3571633
Mmmh ule uzi wa kupanda mlima kilimanjaro ni wa Evelyn SaltUle Uzi ulikua Bora sana alikuaga anaweka na updates za picha kwa Kila hatua aliyofika..
Anaitwa Evelyn Salt kipindi icho nasoma ule Uzi nimetoka kufirisika l, umri mdogo alafu sielewi ata kesho yangu itakuwaje
Ahahahaha nipo hapa daaah acha tuu mungu mkubwa..We kijana umetoka wap 😂😂
Kazi ya kucheza na mshangazi mpaka aseme inatosha aloooAhahahaha nipo hapa daaah acha tuu mungu mkubwa..
Kwanza kesho nina kazi nzito sana
Hapana siwezi shikwa bega aiseee yaan nilitumiwa sms mapema kabisaKazi ya kucheza na mshangazi mpaka aseme inatosha alooo
Utakufa vibaya
Tafuta vijana wenzio 😁
Halafu hujashikwa bega mbeya kweli😎