Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Nakumbuka kipindi kile
Kuna jukwaa la chit chat daaah kuna yule Money Penny alikua anasema ana biashara ya mapapai sijui alikua na maana gani 😂😂😂😂😂

Enzi hizo kuna Numbisa kwenye uzi wa cheka aiseee hatareee sana sana.

Kuna uzi.mmoja hvi wa mdada ana hadithia alivyopanda mlima Kilimanjaro daaah ule uzi hapana aiseeee


Ule Uzi ulikua Bora sana alikuaga anaweka na updates za picha kwa Kila hatua aliyofika..
Anaitwa Evelyn Salt kipindi icho nasoma ule Uzi nimetoka kufirisika l, umri mdogo alafu sielewi ata kesho yangu itakuwaje
 
2e4ed4c7-a8a8-4482-bc51-b53ed6063297.jpeg
 
Back
Top Bottom