Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Hapana siwezi shikwa bega aiseee yaan nilitumiwa sms mapema kabisa

""UKISHIKWA BEGA SAHAU KWENDA TEGETA NA MIMI""

Huko tegeta ndo kwake amesema nikikubari kwenda basi ananifanyia mpango wa ofisi yangu mwenyewe ya kuprint just imagine
Kwahiyo ndio kusema safari ya tegeta ipo😎
 

Attachments

  • IMG-20260405-WA0036.jpg
    IMG-20260405-WA0036.jpg
    19.3 KB · Views: 10
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like

Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?

Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
Kuna mwamba alikuwa anajisifu Sana kuwa yeye anahela, jina nimesahau nafikiri alikuwa anaitwa kiduku kilo
 
Mi nnacho alhamdullilah kuna mda nikawa natishia kama asiponipa pesa ya LUKU naenda kupunguza weeeeh aliwaka.. 😀😀😀😀🙌🙌🙌

Alisema niguse sekta zote ila.huyu nisimguse maana ndo usingizi wake
😂😂😂 kupata uongo kama huu nabonyeza ngap?
Ni sahihi mshangazi awake maana barabara yake imepita magari mengi haisikii la mkuu tena🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom