Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?

Shalom Marco!
Mimi nipo, bado nimeokoka, na bado naendelea kuchapa Injili na kumnyang'anya shetani watu aliowateka.
Umejiandaaje na ujio wa Yesu Kristo? Dalili zinaonesha Yesu yuaja upesi (Ufu 22:10-12)
Amen πŸ™ mtumishi
Ni sk nyingi hatujakuona
 
Jukwaa la chini unakutana na msafwa ilikuwa sio poa mwanangu
 
Kabisa jamiiforums jamiiforums kila siku , nilikua na I'd ya 2012 mambo ya hovyo yalikuwepo tu , watu wamechakatana na kuumbuana vibaya sana , wanawadanganyeni tu πŸ˜…
Ilikuwa moja ya vimbwanga vinakufanya masaa matatu upo kwenye app moja tu ya jf, unapokea simu, unajibu meseji, unarudi humu kutwa nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…