Kwahiyo ndio kusema safari ya tegeta ipo😎Hapana siwezi shikwa bega aiseee yaan nilitumiwa sms mapema kabisa
""UKISHIKWA BEGA SAHAU KWENDA TEGETA NA MIMI""
Huko tegeta ndo kwake amesema nikikubari kwenda basi ananifanyia mpango wa ofisi yangu mwenyewe ya kuprint just imagine
DadNitaitafuta!
Mi nnacho alhamdullilah kuna mda nikawa natishia kama asiponipa pesa ya LUKU naenda kupunguza weeeeh aliwaka.. 😀😀😀😀🙌🙌🙌Kwahiyo ndio kusema safari ya tegeta ipo😎
Kuna mwamba alikuwa anajisifu Sana kuwa yeye anahela, jina nimesahau nafikiri alikuwa anaitwa kiduku kiloKila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕View attachment 3568009
😂😂😂 kupata uongo kama huu nabonyeza ngap?Mi nnacho alhamdullilah kuna mda nikawa natishia kama asiponipa pesa ya LUKU naenda kupunguza weeeeh aliwaka.. 😀😀😀😀🙌🙌🙌
Alisema niguse sekta zote ila.huyu nisimguse maana ndo usingizi wake
Nakamia sana sana kiasi ambacho....😂😂😂 kupata uongo kama huu nabonyeza ngap?
Ni sahihi mshangazi awake maana barabara yake imepita magari mengi haisikii la mkuu tena🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ila wewe mbona unatia huruma hivi
Malizia mimi ni dada yakoNakamia sana sana kiasi ambacho....
Oky ipo hvi au basi
Dada huku gongo la mboto leo kuna bard sana 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹Malizia mimi dada ni yako
Udugu hazina yetu enhee?
Pole una kahawa ndani?Dada huku gongo la mboto leo kuna bard sana 🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Mmmh hapana an humu ndani paajabu sana kule kuna nyanya za pactPole una kahawa ndani?