Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Imbeni mpaka mchoke, lkn iniesta anajua anachokifanya uwanjani, na anajua kuuchezea mpira. Ni Mmoja kati ya midfielder bora kabisa, lakini sio GAUCHO.
 

Acha utoto wewe,Hizo porojo peleka huko unakojua! Muda huo aliokaa barcerona kama ni Baba wa soka messi angeipatisha tim vikombe vyote, na sio huyo mbwe mbwe nyingi.

In-short barcelona hakufanya lolote la maana mpaka walimchoka. Since 2003-2008 miaka yote hiyo uefa cup ni moja tu? Alaf mnakuja apa mnamsifu,kwa lipi zaidi? Hata uefa final na arsenal hakufanya lolote la maana, ETOO ndie alifanya kazi kubwa pale hadi tim ikaibuka na ubingwa, na ndie man of the match samuel etoo huyo. Na sio huyo kapuku wenu.
  • Samuel etoo,gol
  • Juliano Belletti,gol
Ac milan ndio kabisaa alitia kichefuchefu, na hakuna tim yyte iliyokua tayari kumnunua, hivyo akakimbilia kwao brasil kule tena akaonekana boya zaidi.hata vikombe vyenyewe sio kwa juhudi zake binafsi maana alijinenepea likawa mzigo hata hapa kwetu simba fc ama azam fc tusingempokea hata kwa bure. so narudia tena usitake kupotosha watu kijana, na usitufanye sisi wapumbavu,tuna akili zetu bwana.
 
Sipendi dharau hvi we bwana mdogo unavuta bange za wapi?gaucho ana balon d or iniesta hana sasa unawalinganisha nn hawa watu wawil
Ronaldinho

-World cup 3. 2 youth and 1 national team
-World player of the year 2
-Ballon dor 2 zilikuwa hazijatenganishwa,
- uefa best footballer 2
- uefa 3
- copa america 3
- confederation cup 3

Hapo tena yeye ndo mchango mkubwa anatoa, unamlinganishaje na iniesta au messii? Huyu jamaa yuko juu,
 
I do respect iniesta ila muacheni gaucho aitwe gaucho..
 
bila shaka utakuja na habari za makombe,magoli,ballon d'or ambazo zina magumashi
Wewe messi record ni kwenye ballon dor bas
- hana worl cup
- hana copa america
- hana confederation cup
- hana best footballer of the year

Hivyo messi hana na usinikosoe ujue dinho ana world footballer of the year 2 na ballon dor 2 . messi ameanza kuwika wakati world footballer of the year haipo tena,
 
Kwani iniesta soka lake siyo ya kuburudisha jaribu kutizama games za Barca halafu uone iniesta passing zake,touch,one two,dribblings nk iniesta complete player ,complete midfielder
Iniesta ni chekechea wakati Gaucho ni Chuo kikuu
 
Gaucho ni kiumbe mwingine
 
Winning with a team haimaanishi kuwa bora ila unaposhinda ukiwa ndani ya timu na nje ya timu
 
Kasome acha uongo
 
Topic inasema Iniesta Vs Ronaldinho,nashangaa kwanza Messi ameingiaje kwenye huu mjadala.Kama kwako Iniesta ni bora kuliko Ronaldinho ni mtazamo wako sikulazimishi

Na Iniesta hawezi kuwa bora zaidi ya Dinho...
huko ni sawa na kusema Korando ni bora kuliko Vogue...
 

hah hah hah hah wangekuwa na akili timamu basi walipokusoma hapa mkuu wangeufyata maana umetoa fact na hitimisho mujarab kabisa...

Forza Balantanda
 

sijui umekula maharage ya wapi wewe?
ila nahisi ni Yai la kuchemsha kisha umeshushia mtindi.

kwanza kabisa nikujulishe tu, Dinho Magic alibeba tuzo ya Mwanasoka bora wa Dunia pindi ambapo Dunia ina wachezaji kwelikweli. timu zilikuwa nondo na wachezaji walikuwa nondo haswa. makipa walikuwepo, mabeki walikuwapo, viungo ndio balaa, washambuliaji ndio usiseme...

Totti, Del Piero, Raul, Figo, Eto'o, Rivaldo, De Lima, Beckham, Owen, Mendieta, Valeron, Riquelme, Efenberg, Gerald na wengine wengi aliwabwaga. Saint Gaucho aliweza kupiga chenga za maudhi na kuwadhalilisha mabeki visiki waliokuwa kwenye soka miaka hio, na sio hawa mabeki wenu wa siku hizi kila wakiruka kichwa wakitua chini basi kitu cha kwanza ni kujitoa doksi.

Dinho Magic amesambaratisha viungo imara vya timu tofauti hapa ulimwenguni. Dinho ameshatoa assist za ajabu na hazijatokea mpaka leo. Mfano ni ile pasi aliomtengenezea Nesi na kisha Nesi kukiri kuwa hata angefumba macho basi mpira ule aliopewa na mjanja wake basi ilikuwa afunge tu na kuweka kumbukumbu yake ya goli la kwanza kuifungia Barca alipewa pasi na Mtume na Nabii wa Mwisho wa Soka.

na unapojishushia heshima ni pale unaposema eti Mtakatifu Gaucho angekuwepo kwenye kipindi hiki cha Ronaldo na NESI basi asingefanya lolote...

nikukumbushe tu matukio muhimu. Dinho Magic aliwahi kuja Sansiro na kuikuta Milan dume dume kweli, lakini alichotufanya ilibidi Berlusconi amtume Uncle Fester aangalie uwezekano wa Nabii huyo kuja kuvaa uzi wa Rosoneri.

Nesi wako unaemsifia wewe hajawahi kufunga goli la move Nesta akiwa anamkaba. Nesi mara zote alizokabwa na Nesta amefunga magoli ya penati tu.

huyo Ronaldo alishakuja Sansiro enzi za mbavu Cafu mbavu Maldini na alijambajamba matokeo yake mwishoni akataka eti kumpiga Cafu...

siku nyingine alikuja Sansiro kisha akakutana na Brigadia jenerali mstahafu Ivan Rhino Genaro Gatuso na cha moto alikiona.

so usijidhalilishe kwa kulinganisha kipindi cha Gaucho na kipindi hiki cha kwako wewe na wanyoa viduku wenzio.

jifunze kupitia kwa sisi tuliokuzidi kijana.
unapobishana na Belo na Balantanda ukae ukijuwa utalemaa hapohapo na hutokuja kujuwa.
 

ungewatafsiria kwa Kiswahili wangeelewa na wasingerudi kwenye uzi huu.
ila kwa kuwa uliacha Lugha hio ndio maana unaona blabla zimeendelea
 
Iniesta ndo bora zaidi kwani kakomaa kwenye game kwa uwezo wake uleule mpka sasa Gucho alikuwa wa mwendokasi alivuma kwa kipindi kidogo mno ka big G vile,Iniesta kafanya wonders kwenye club na timu ya taifu.

kwa kilichomo kwenye vichwa vyenu nina uhakika baada ya miezi minne kuanzia sasa mtakuja na thread hapa Samatta ni zaidi ya Gaucho...

na kuna konokono watajitokeza kuwasapoti...so nawatakia juhudi na mafanikio mema kwenye hekaheka zenu hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…