Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

Kwahiyo Fabio Cannavaro ni zaidi ya Iniesta na Xavi kwakuwa ana Ballob D'or

jibu swali uliloulizwa je unavuta bangi ya wapi?
wacha kukurupuka na mengine...toa kwanza mwiba wa takoni kisha ndio ukae chini na kuitoa wa mguuni
 
😛hii kali aise.watoto mnasumbua humu
Iniesta ataendelea kuwa juu yake, ana33 lkn bado ni jembe.
Iniesta - Maestro!

ingia youtube, ingia insta kwenye page yake utaona maajabu na miujiza ambayo mpaka hii leo Gaucho anaifanya.

St Gaucho juzi kati kapiga goli 5 kwenye Indoor Soccer na kufanya matendo makuu ya ajabu ambayo hata wanaoucheza mchezo huo wame yashangaa.

Duru za soka zilipata kutanabaisha na kukiri kuwa ili umkabe na kumfunika Dinho Magic basi ni lazima uwe na Bikali, Kowa, Wembe, Sindano, Upupu na silaha nyingine ndogondogo za jadi.

Claudio Makelele alipata kusema kuwa "huwa kuna kipindi uwanjani nategea kwenda kumkaba ili nione anachowafanyia wenzangu wenye vihelehele"...sasa ukiona mpaka mchezaji anavutiwa na matendo ya adui basi ujue adui huyo unapaswa kuungana nae.

ntarudi...
 
Sasa mimi na wewe nani mtoto hapa?...

Yaani unazungumzia mafanikio ya mtu kwa hiyo UEFA cup moja?...

Mtu amefunga magoli zaidi ya 70 akiwa Barcelona yet unasema hajafanya kitu...Ametoa assists zaidi ya 60 unasema hajafanya kitu...

Wewe kiazi kweli...Sasa ulitegemea Gaucho afunge kila mechi hata hiyo fainali ya UEFA ndio useme ni bora?...

Umeandika maneno mengi uharo tu...Lete facts...Lete takwimu zinazombeba Iniesta over Gaucho...

Huyo Eto'o alikuwa anacheza peke yake uwanjani?...Mbona hauwataji Deco na Mark Van Bommel waliofanya kazi kubwa pale kati wakishirikiana na Gaucho aliyecheza kama AM?...
 
Mjomba la liga hutizami mimi tokea 2000 natizama la liga na klabu yangu ni Bilbao

Kuanzia sasa nafunga mjadala sibishani na Ww tena nimegundua mpira hufahamu,una upenzi,eti messi hajawahi kufunga goli ya move yote ya penati
.siku njema bro
 
Madhara ya kuangalia mpira miaka minne iliyopita ndo hayo,naona umeamua kumzalilisha Mfalme kwa vitu vya kipumbavu.ivi izo shule mlienda kusomea ujinga naona.
Humjui ronaldinho tatizo lako.ingia u tube.umuangalie ronaldinho ndio uje hapa tujadili.sio messi wala Rinaldo wala dunia nzima
 
Mjomba la liga hutizami mimi tokea 2000 natizama la liga na klabu yangu ni Bilbao

Kuanzia sasa nafunga mjadala sibishani na Ww tena nimegundua mpira hufahamu,una upenzi,eti messi hajawahi kufunga goli ya move yote ya penati
.siku njema bro

Py thon ee usihangaike jamaa yangu na hawa viumbe bado hawajitambui, na wameonyesha wazi kutoufahamu mpira, watu wa type hiyo wapuuzie mbali,na wala hakuna sababu ya kubishananao,
three days ahead watatuijia na kusema gaucho ni zaidi ya Zidane,😛😛😛,

kwenye mioyo yao wanatambua kuwa Iniesta ni zaidi ya gaucho,kuuchezea mpira,ball controll,passes nk. lkn wanaona aibu kuyasema,isipokua wanapindisha vimaneno maneno na kuongeza chumvi ikolee zaidi

😛😛ndiomana nikasema hakuna sababu ya kubishananao,utapoteza time zako bure
 
😀😀😀Messi mdogo wangu unafanya sio vizuri aise unabeba dhambi nyingi mno kwa gaucho' ona sasa umemfanya Iniesta ang'are zaidi na gaucho kuonekana wa kawaida.
 
😀😀😀Messi mdogo wangu unafanya sio vizuri aise unabeba dhambi nyingi mno kwa gaucho' ona sasa umemfanya Iniesta ang'are zaidi na gaucho kuonekana wa kawaida.

Umenena kiongozi...Tiene gran deleitarme , estos niños habían vez lo compara con los mejores jugadores de la historia Leonel Messi y Diego Armando Maradona😀😀😀
 
Mucho gracias! El contigo. Por amor de una mujer...intolanto bageni baje na msosi wao.

Hasta la vista!

😀😀😀😀😀 juntos somos un líder ! Estos niños con ellos, todos los días Gaucho Gaucho ! No me he casado con él Gaucho? el tiempo mismo estaba tocando música es el término pronto llegó a ser absolutamente kishajichokea
 
Ronaldihno gaucho alifanya mpira uwe wa kuvutia sana uchoki kumwangalia ladha ile hakuna aliyenayo mpaka sasa , kwangu mimi GAUCHO ni bora kuliko messi achana na iniesta maana iniesta ni mkali lakini sio level za hawa watu wawili
 
Gaucho ni kiumbe ambacho dunia ya soka itamkumbukasana, ina kua kama kupatwa kwa jua, inaweza pita miaka 300 kutokea mwingine. Mungu uumba viumbe awa adimu kwa namna anayo jua yeye, wachukue wote waliopo na waliopita Barcelona amna aliyefikia ata nusu yake na wenyewe Barca wanakiri. Yule mtu alikua achezi mpira, ila alikua kwenye sanaa ya mpira.
 
Mjomba la liga hutizami mimi tokea 2000 natizama la liga na klabu yangu ni Bilbao

Kuanzia sasa nafunga mjadala sibishani na Ww tena nimegundua mpira hufahamu,una upenzi,eti messi hajawahi kufunga goli ya move yote ya penati
.siku njema bro

usisuse kama Nesi...
nimekwambia huyo Nesi wako hajawahi kumpita Nesta na kufunga gol la Move...huyo magoli yake yote alipokabwa na Nesta alifunga wa penati
 
Najaribu kukumbuka kipindi dinho anatua barca, barca ilikua imepotea ktk ramani kidogo kama ilivyofulia man u na ac milan kipindi hiki. Ila nabii alivyotua aliitoa barca kutoka kushiriki uefa ndogo hadi kurudi tena ktk ramani ya soka klabu bigwa ulaya. Kama ilivyo kawaida ya Manabii waliopita CC Jesus na Mohhamad. Dinho alifanya miujiza na mambo yote matakatifu ktk mpira wa miguu. Hatimaye likatimia neno, timu iliposimama wima alisulubiwa nakutupwa kama Manabii wengine waliopita. Huyo ndio Ronaldinho, vijana wa leo mtakua mmenielewa. Wakongwe wenzangu najua mnalifahamu hilo..
 
Ndio maana wanaojua soka wakasema dinho kaitengeneza barcelona ila barcelona wamemtengeneza Messi.
 
Jamani comparison zingine ni za ajabu kama mess afuati kwa gaucho,sasa huyo jamaa si ndio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…