Level zingine ganiIniesta yuko level ya Xavi, Pirlo, Bastian, Gerrard, Scholes,Kaka.Gaucho alikuwa level ya juu zaidi
Gaucho hakuletwa na rijkaard ,laporta na rosell ndio waliomleta ,walikuwa kwenye kipindi cha uchaguzi na kwenye Sera zake aliahidi atamleta gaucho wkt huo katoka kungaa world cup mpk wakaenda kumshawishi asiende man u ni kama vile issue ya Perez na James ,ancelotti hakumleta Bali Perez upenzi wake alimleta,gaucho kasepa sabb ya kiwango na ubonge
Gaucho amecheza both..As a play maker (central midfielder) na attacking midfielder..Na kuna wakati alicheza kama forward..Kwanza tambua kwenye 4-3-3 Gaucho amekuwa akicheza mshambuliaji wa kushoto nafasi ya anayocheza neymar saizi kwahy muda wote yupo free lkn Andres iniesta yupo central iniesta,busi,raki kwahy majukumu yke yofautisha na ya gaucho ,anachezesha timu ,miliki dimba nk
Halafu kama hujui miaka yote mido za Barca hawana idadi nzr ya magoli mfno deco miaka yote aliyokaa Barca kafunga magoli 13,xavi pia hana idadi nzr ya magoli na iniesta pia
Siyo hvyo tu nenda Madrid modric sidhani kama hata magoli 10 kafikisha kroos mechi 74 ana magoli 4 wkt alivyokuwa Bayern alikuwa anafunga 15 kwa msimu
Turudi kwenye point hawa central mids wa Barca na real unavyowaona wana kazi kubwa kuchezesha timu na kuifanya timu itawale mchezo kwa asilimia kubwa ndio maana unaona msn,BBC wanafunga sana wapo free...iniesta ahukumiwi kwa magoli kwa role yke
Gaucho hakuwa central mid Bali mshambuliaji so kwa magoli anamzidi iniesta
Kuhusu makombe iniesta ana makombe mengiiii sana ,na iniesta acheze timu nyingi ili iweje wkt yupo kwenye klabu bora kabisa
Mfano cr7 aliondoka man u na kwenda real ,timu bora kabisa na real kamwe huwezi kumtoa kivyovyote mpk atakapoisha kisoka,unapokuwa sehemu bora Barca, Madrid eti uondoke??aende wapi .
Wachezaji wote malengo yao wacheze Barca,real halafu Leo hii eti mchezaji aondoke hv vilabu na kwenda kwingineko kwa unavyodhani Bale angekuwa toka mwanzo Madrid angetaka ahame aende spurs au cr7 angeanzia Madrid unagikiri angewaza kwenda man u?
Andres ni play maker na play makers miaka yote hawana stats nzr za magoli mtizame pirlo,modric,xavi,na kroos wa sasa
Level zingine gani
Iniesta ttzo lenu munamuangalie kwenye el classico na uefa tu ,huyu MTU hsfai genius ,..
Iniesta, zizzou,laudrup hzi ndio level zake
Nimegundua kitu kimoja...Ama tunabishana na under ages...Ama watu wasiojua mpira...Punguza ubishi usio na maana kumbuka kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka hata Pep hakuwataka Deco,Toure ndio maana waliuzwa.Kwenye uchaguzi Laporta aliahidi kumleta Beckham sio Ronaldinho
Iniesta ni mchezaji mzuri lakini huwezi mlinganisha na Gaucho wala Zidane.Naona hauko serious yani Laudrup unamfananisha na Zizou na Gaucho?
Beckham alipelekwa kwa matakwa ya kocha?Perez c alimuondoa makelele na kumleta BeckhamNimegundua kitu kimoja...Ama tunabishana na under ages...Ama watu wasiojua mpira...
Fikiria mtu anakwambia Gaucho hakuletwa na Rijkaard...Kwamba aliletwa na Rais wa timu...
Kwa hiyo hata Zidane, Beckham, Figo na galacticos wengine walipelekwa Madrid na Perez?..Hajui kama hawa wachezaji wanaletwa kulingana na matakwa ya makocha wa timu...
Hivi unajua ni kwa nini Deco na Yaya Toure waliondoka Barca?...Gaucho hakuletwa na rijkaard ,laporta na rosell ndio waliomleta ,walikuwa kwenye kipindi cha uchaguzi na kwenye Sera zake aliahidi atamleta gaucho wkt huo katoka kungaa world cup mpk wakaenda kumshawishi asiende man u ni kama vile issue ya Perez na James ,ancelotti hakumleta Bali Perez upenzi wake alimleta,gaucho kasepa sabb ya kiwango na ubonge
Ongea kama unajua mpira...Pereza hawezi kumuondoa Makelele..Makelele aliondoka kwa sababu kocha alikuwa hamuhitaji...Beckham alipelekwa kwa matakwa ya kocha?Perez c alimuondoa makelele na kumleta Beckham
Kama hujui namna Madrid inavyoendeshwa inabidi uulize,issue ya galacticos ilianza vp kama siyo Perez ,halafu kingine mfno pogba wagombea urais 3wa Barca waliingia naye mkataba lkn mwishoni Enrique alimkataa ,riquelme aliletwa na rais lkn van gaal hakumtaka na akamtoa kwa mkopo na mwisho akaenda Villarreal ,gaucho aliletwa na laporta
Kwahiyo Fabio Cannavaro ni zaidi ya Iniesta na Xavi kwakuwa ana Ballob D'orSipendi dharau hvi we bwana mdogo unavuta bange za wapi?gaucho ana balon d or iniesta hana sasa unawalinganisha nn hawa watu wawil
Naona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?Beckham alipelekwa kwa matakwa ya kocha?Perez c alimuondoa makelele na kumleta Beckham
Kama hujui namna Madrid inavyoendeshwa inabidi uulize,issue ya galacticos ilianza vp kama siyo Perez ,halafu kingine mfno pogba wagombea urais 3wa Barca waliingia naye mkataba lkn mwishoni Enrique alimkataa ,riquelme aliletwa na rais lkn van gaal hakumtaka na akamtoa kwa mkopo na mwisho akaenda Villarreal ,gaucho aliletwa na laporta
Mkuu siyo kweli ,makelele anasema Perez hakunihitaji sabb nilikuwa siuzi jezi na nilikuwa si saidii ktk mauzo ya jeziOngea kama unajua mpira...Pereza hawezi kumuondoa Makelele..Makelele aliondoka kwa sababu kocha alikuwa hamuhitaji...
Perez alichofanya ni kuanzisha sera ya Galacticos...Aliwapa uhuru makocha kuchagua wachezaji wanaowataka then yeye anatoa hela..Hata Laporta alikuwa anafanya hivo..Wachezaji wanasajiliwa kulingana na matakwa/mahitaji ya kocha...
Hii pia ilikuwa ni strategy ya Perez kushinda uchaguzi..Strategy ambayo hata Laporta na Rossel waliiga...Lakini alivoingia Pep pale Barca aliamua kutumia La Masia zaidi..
Amechukua tuzo zipi binafsi ambazo gaucho hana?Swali jepesi tu
INIESTA ameshatwaa makombe mangap
Ronaldinho ameshatwaa jumla ya makombe mangap
HAPO NDIO UTAJUA INIESTA WEKA MBAL NA WATOTO
Sababu ya Sera ya pep ,kutumia vijana wa LA masia na wengi alikuwa nao pamoja sanaHivi unajua ni kwa nini Deco na Yaya Toure waliondoka Barca?...
Unajua ni kwa nini Pedro Rodriguez..Sergio Busquets..Andres Iniesta walianza kung'ara kipindi cha Pep?...
Unajua ni kwa nini Gerald Pique alirudishwa Barca mwaka 2008 toka Man Utd?
Nilitaka niwaeleweshe nyie mnaopinga kuwa rais hawezi kumleta mchezajiNaona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?
Naona tena unakubali kuwa kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka
Kocha anapendekeza wachezaji hilo lipo ila suala la gaucho,riquelme ni rais aliyeleta na cyo kocha alipendekezaNaona unazidi kuhama kabisa hapa Tunazungumzia Real Madrid na Beckham au Barca na Ronaldinho ?
Naona tena unakubali kuwa kocha ndio anapendekeza wachezaji anaowataka
Unaishi dunia gani,kocha anaweza asitaje majina ya wachezaji exactly anaowataka ila anasema nataka mshambuliaji no 9 au nataka beki wa kushoto then klabu ndio inaangalia wachezaji walio sokoni. Wachezaji wote wananunuliwa baada ya kiongozi wa timu ku-approve kwa Spain ni ma-raisi while ligi nyingine ni CEO au DoF .Narudia tena kwenye kampeni Laporta aliahidi kumnunua Beckham na sio RonaldinhoKocha anapendekeza wachezaji hilo lipo ila suala la gaucho,riquelme ni rais aliyeleta na cyo kocha alipendekeza
Messi+ronaldo n.k=ronadinho
Mtake radhi gaucho.umemkosea heshima.