Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
gaucho hakuwa na wa kucheza nao muda mwing alikuwa akicheza mwenyewe!
kweli kabisa...
na ndio maana hata Malaika walipenda kumuangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gaucho hakuwa na wa kucheza nao muda mwing alikuwa akicheza mwenyewe!
fozafozafoza chomba upo mkuu?Gaucho ndie mbarikiwa pekee aliepewa tuzo ya Man of the Match ile hali akiwa tu jukwaani kavaa uchepe kichwani, kala belo la maana, middle ana bati na down ana ndop la ukweli huku anatazama soka...
Belo ndugu yangu ongea tu bila mifano...wengine tukikumbuka machozi huwa yanatutoka
weka ww ya iniesta
Ahahahahahahahaha!isingekuwa messi mada hii isingeandikwa hapa jukwaani.lawama zote zimuendee messi kwa kufanya iniesta aonekane ni mchezaji wa kawaida
fozafozafoza chomba upo mkuu?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] umenena, messi akiifunga arsenal ujue kuna majeruhi, japo messi mkali ila kwa gaucho mhmessi anapga 4 wakat huo arsenal wachezaj 7 first 11 ni majeruhi,beki silvester anacheza nae 1,2,
Kwa logic hiyo hata sagio buscuet ni bora kuliko gauchoSwali jepesi tu
INIESTA ameshatwaa makombe mangap
Ronaldinho ameshatwaa jumla ya makombe mangap
HAPO NDIO UTAJUA INIESTA WEKA MBAL NA WATOTO
Samahani bro! Naomba unionyeshe clip ya hao malaikakweli kabisa...
na ndio maana hata Malaika walipenda kumuangalia
Vipi wajerumani kule brazil walishindwa kumzuia messi? Vipi kina sanchez na chile yake mara 2 walishindwa kumzuia? HahahahaHivi Mkuu ni sahihi kuangalia Mechi mbili tatu mtu ambazo hajaperform vizuri kuliko kuangalia perfomance yake ya muda mwingi?
Unazungumzaje alivyomueka chini Boateng na kwenda kumning'iniza Neur, vipi kuhusu Arsenal haohao na Wenger wao ambao Messi aliwapiga 4 pale Camp Nou?