Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
- Thread starter
-
- #61
Nazungumzia Intelijensia ya Rwanda baada ya mauaji ya kimbari ya 1994, wakati nchi yao ipo chini ya RPF.Kwanini unawasifia sana wanyarwanda na sio Tanzania? Wanakulipa? Kwanini hiyo intelligence yao ilishindwa kuzuia mauaji?
We still have a long way to goThat is there approach. Unless we unite, we will always be their prey
Ile genocide imekua kama kinga ya kagame kwa yoyote yule atakayempingaNaanza kukuelewa. Genocide ilikua 1994, miaka 26 iliyopita. Rusesabagina kaanza kutangazwa kua adui wa Rwanda na kutafutwa kwenye miaka ya 2005 au 2006 baada ya kujitangaza anataka kumuondoa PK madarakani kwa njia yoyote
Walimlaghai, akauvaa mkengeSasa mkuu hio sentensi ya kupiga wrong number maana yake ni nini?
How mzee baba?Hicho ndicho ninachotaka kujua,yaani alilaghaiwa kwa style gani?Walimlaghai, akauvaa mkenge
Wewe ni intarahamwe?? Mbona povu!?? Tuache tupate habari rudi kwenu katubuAmewakosea nini mpaka mhangaike naye hivyo? Kila Lenye mwanzo lina mwisho. Poleni sana mnaohangaika na mambo ambayo hayana umuhimu wowote.
Tatizo la Africa lipo kwenye mifumo ya utawala ambayo hairuhusu kutengeneza taasisi imara bali inajenga zaidi individuals. Nimeutafakari sana ule mfano wa Israel na kugundua kwamba uzalendo tunaouimba kwenye nchi zetu za Kiafrika ni uzalendo fekiWe have to love our continent and her progress. Hatuwezi kuendelea kupigana nyundo na kutafuta maendeleo. Stability ya DRC, Rwanda, Burundi ni muhimu kwa ustawi wa eneo letu. Hizi approach za kizamani hazina nia njema kabisa na eneo letu
1. Kwa taarifa za sasa, alikuwa safarini, 27 Agosti alikuwa Dubai na aliwasiliana na familia yake.How mzee baba?Hicho ndicho ninachotaka kujua,yaani alilaghaiwa kwa style gani?
Ni suala la muda. It will backfireIle genocide imekua kama kinga ta kagame kwa yoyote yule atakayempinga
Wewe ni intarahamwe?? Mbona povu!?? Tuache tupate habari rudi kwenu katubu
This says all about Rwanda! Congrats!Serious? Rwanda inatumia the little resources they have to steal in Congo and fight war on PK challengers
Tatizo la Africa lipo kwenye mifumo ya utawala ambayo hairuhusu kutengeneza taasisi imara bali inajenga zaidi individuals. Nimeutafakari sana ule mfano wa Israel na kugundua kwamba uzalendo tunaouimba kwenye nchi zetu za Kiafrika ni uzalendo feki
Israel haihujumu raia wake ndani na nje ya nchi ka ambavyo Raia wa Israel jawawezi kuihujumu na kuisaliti nchi yao popote pale walipo. Kwa namna hiyo lazima taifa lenu litakua kubwa na lenye maendeleo
Very true.Muusika wa kwanza na mkuu wa genocide ni PK mwenyewe, the rest are just pawns he is using to cement his POWER
Ngoja nikufafamulie. Wewe ni wanted. Unafuatiliwa na watu wengi tu, na wengi wao huwajui, ila wewe wanakujua vizuri sana na interests zako. Unaenda kwa mtu anaedili na kitu ambacho unakihitaji sana. Anakufahamu na unamfahamu. Anakudanganya, aaaa!!! hivi vitu nimeishiwa, tens umechance kweli, kuna jamaa yangu alikuja Jana anahitaji kitu hikihiki akakosa. Ameamua kukifuata mwenyewe China(mfano), wamekodi ndege, ngoja nikuunganishe. Unafurahi sana na kumshukuru sana jamaa yako na asante nyingi sana. Unaenda mazima na usingizi wa pono kwenye ndege. Unashtushwa kutoka usingizini kwa kupigwapigwa begani. Taaap!!! uso kwa uso na sharubu za Simba wa Msimbazi!!! Mwakeye mwalaye? Ulakomeye magabo? Za misi? Tulakukunda change!Kagame mwenyewe aliulizwa je,walimteka huyo jamaa?
Akakataa akasema alikamatwa in a 'flawless Operation' na akaendelea kusema:
“He got here on the basis of what he believed and wanted to do,It’s like if you fed somebody with a false story that fits well in his narrative of what he wants to be and he follows it and then finds himself in a place like that.And he will say it, when the time comes, he will tell the people what happened."
So Mpk hapo maelezo ya PK hayajatoa mwanga wa maana wa kitu gani kilitokea nadhani mpk huyo jamaa mwenyewe aliyekamatwa aseme alikamatwaje.
Ningependa kusikia maelezo ya huyo jamaa pia.
Yani kama ww ni Rwandiz hata kama upo na mkeo chumbani haijalishi upo Rwanda ama nje ya Rwanda kitendo cha kumjadili kwamba nani anapaswa kumpokea kijiti akinusa tu mmekwisha....Hivi kila superstar Rwanda ni mhalifu isipokuwa PK tu?
Kumbuka kipindi kile RPF chini ya Fred Rwigema na junior officer Kagame ndio walikuwa kwenye mapambano ya kutaka kuitawala Rwanda wakitokea Uganda kwa usaidizi wa Mu7...Kwanini intelligence ya Rwanda ilishindwa kuzuia mauaji yasitokee?
ni vigumu sana kubadili route ya ndege kama hakuna hitilafu au tishio la kigaidiLazima atakuwa alirudi kwa hiari,au rwanda walifanya kama saudi arabia inavyofanya,,yaani ndege inabadilishwa route na kutua rwanda,,,