International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

Duh aise siyo unasoma shule ada ni mchango wa elfu 50 ya uji mwaka mzima alafu Unajisifu una koneksheni ya kazi kumbe unamtegemea mjomba wako ambae ni mwenyekiti wa kijiwe Cha bodaboda akutafute pikipik
Unahatia ya kuvunja mbavu za watu
 
Nchi hii tulikosa bahati Rais wa kwanza alitakiwa awe mchaga,tayari walikuwa tayari wana exposure ya kutosha wakati huo mbona tungetusua maisha tu,ona wenzetu kenya walivyobahatika ,nawatania tu mwayego msinitoboe macho.
 
CEO wa makampuni ya Serikali au Private companies? Kwa private companies ni wachache sana.
 
Uko SAHIHI 100%, ila lingine ni kuwa na mentality mpya. Huku kwetu mtoto anataka afaulu vizuri ili apate ajira nzuri. Yaani apate division I point 7 form IV, halafu division I ya point 3 form six na bado anaota kuajiriwa - huo ni upuuzi. Halafu huku kwetu tunaogopa hata kuvuka mpaka.
 


Hao walipata bahati za Kua CEOs enzi za JPM alikua Hatoi work permit kwa foreigner kwa taarifa yako banks na Telecom uwa wanaangalia cv yako wale waliosoma Hizo shule za kimataifa na kufanya kazi nje ya Nchi ndio wanagombaniwa kwenye soko la ajira mishahara Yao ni mikubwa sana sio chini ya million 40 net bado bonus na mikopo mikubwa nyumba na kusomeshewa watoto

CEO waliosoma kayumba wamshukuru Maghufuli , Serikali yetu inatumia locals walio na ufaulu wa juu kutoka Vyuo mbali Mbali na ndio maana nchi ipo ipo , unakuta mtu kalelewa kijijini Hana exposure yoyote zaidi ya kujua Dar Es salaam akimaliza chuo akafaulu vizuri anapelekwa TISS au BOT or kwingineko Mara mbunge then waziri mtu kama huyo hawezi Kua faida kwa Nchi Hana jipya
Ilikuja mjadala JF JPM enzi zake Aliteua wakuu wa Wilaya na wakurugenzi kutoka hizo company na walimkatalia
 
Hakuna kitu hapo. Confidence ya wapi watoto wanaandaliwa kurithi na juendeleza mali za wazazi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…