Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeulizwa swali jibu achaIna kuuna sana? Tafuta pesa wacha ujinga
Kweli mkuu mtoto ananyooka kinge unafurahi, sio yale ya waziri wa elimu na kinge chake kama changu4. Communication skills
Kweli mkuu mtoto ananyooka kinge unafurahi, sio yale ya waziri wa elimu na kinge chake kama changu
Unahatia ya kuvunja mbavu za watuDuh aise siyo unasoma shule ada ni mchango wa elfu 50 ya uji mwaka mzima alafu Unajisifu una koneksheni ya kazi kumbe unamtegemea mjomba wako ambae ni mwenyekiti wa kijiwe Cha bodaboda akutafute pikipik
5. Scholarship za moja kwa moja nchi za Dunia ya kwanza Kwa masomo ya chuoni.4. Communication skills
Hili ni kweli kabisa, kuna binti mmoja yuko chuo Uingereza alinieleza kwamba moja kati ya sababu zilizofanya apate hiyo fursa kirahisi ni "aina ya shule aliyosoma".5. Scholarship za moja kwa moja nchi za Dunia ya kwanza Kwa masomo ya chuoni.
unataka aseme watoto wake wanasoma mabatini primary school ili nafsi yako ipate faraja na ujihisi upo nae sawa kiuchumi.Watoto wako wanasoma wapi?
Acha fikra za kimasikiniWatoto wako wanasoma wapi?
CEO wa makampuni ya Serikali au Private companies? Kwa private companies ni wachache sana.Huitaji kusoma International School tu ili kupata exposure, network n confidence. Angalia connection za wafanyabiashara wakubwa nchini na wanasiasa halafu tafuta wangapi walisoma unazoziita International Schools.
NB: Awamu ya 5 iliwainua watoto wa maskini mpaka ngazi za juu Sana. Both kisiasa na corporate eg. CEO wa benki kubwa nchini hata telcos. Wengi wamesoma Kayumba.
Uko SAHIHI 100%, ila lingine ni kuwa na mentality mpya. Huku kwetu mtoto anataka afaulu vizuri ili apate ajira nzuri. Yaani apate division I point 7 form IV, halafu division I ya point 3 form six na bado anaota kuajiriwa - huo ni upuuzi. Halafu huku kwetu tunaogopa hata kuvuka mpaka.Watu wengi wakisikia International School Ada ni million 40 wanawaza sasa hawa watoto watafanya kazi gani ili i pay back.
Hizi shule ukichunguza sana hata ufundishaji wao utagundua utofauti, hata likizo zao huwa ni ndefu sana, Summer Holday zao ni ndefu Balaaa.
Hizi Shule Watoto sana sana wanatoka na vitu vikuu Vitatu.
1. Exposure, kuna Exposure ya kutosha hapa, kwa sababu ya safari zao nyingi sana zisip isha, na huwa wana Ziara mbali mbali nyingi tu hasa nje ya nchi, na huwa wana mashindano yao pia ya hizi International Schook, huko kote mtoto anapata Exposure ya kutosha kabisa ya kuja kuitumia baadae.
2. Networking, Hii ndo Faida kubwa nazani kuliko zote ya hizi shule, Hizi shule unakuta kuna watoto wa wafanya Biashara wakubwa kabisa, watoto wa Viongozi wakubwa wa ndani na nje ya nchi, hapa kuna network huwa inatengenezwa, hizi huja kuwadaidia baada ya kumaliza masomo yao na kuingia mtaani, hawa kwa sababu wametokea Familia za kitajiri huwa kutupana kufungiana vioo, kuoneana wivu havipo kabisa.
3. Confidence, ukija kwenye Swala la Confidence mtoto wa primary kwenye International School anamzidi mbali mno kwa confidence mtu anaye chukua Masters yake pale UD au kokote kule, Vijana wana confidence acha kabisa na hii inachagizwa pia na aina ya ufundishaji na pia zile Exposure na kadhalika.
Hivyo vitu vitatu ndio sana vinatafutwa kwenye hizo shule na wala sio ajira ingawa pia wapo wanao ajiriwa.
Ukiona mtoto kasoma hizo shule na kashindwa maisha basi ana matatizo mengine, lakini kwa walio serious kutoka huwa ni rahisi sana.
Wewe unasoma na Mtoto wa Leopard Tours, au mtoto wa MO au Mtoto Marehemu Mengi, au una soma na Mtoto wa Waziri fulani au Mtoto wa Mfanya biashara mkubwa kule Kenya au Uganda au Rwanda, unaweza vipi kushindwa maisha?
Sina fikra usemazo wewe.Acha fikra za kimasikini
Wewe ni kajambanani na fukara, akili zako zimezoea dhiki, husda, chuki na lindi la umasikini.Sina fikra usemazo wewe.
Huitaji kusoma International School tu ili kupata exposure, network n confidence. Angalia connection za wafanyabiashara wakubwa nchini na wanasiasa halafu tafuta wangapi walisoma unazoziita International Schools.
NB: Awamu ya 5 iliwainua watoto wa maskini mpaka ngazi za juu Sana. Both kisiasa na corporate eg. CEO wa benki kubwa nchini hata telcos. Wengi wamesoma Kayumba.
Hakuna kitu hapo. Confidence ya wapi watoto wanaandaliwa kurithi na juendeleza mali za wazazi vizuri.Watu wengi wakisikia International School Ada ni million 40 wanawaza sasa hawa watoto watafanya kazi gani ili i pay back.