International Schools zina nini cha zaidi?

LUGHA, ujinga na upumbavu unaotumaliza wa-TZ nikutokujua lugha.
 
Una hoja lakini umeshindwa kuiwasilisha vizuri. lakini pia nimesoma andiko lako nimekuja kugundua kuwa
1. Umeshindwa kutofautisha International na English medium schools

2. Hauna ufahamu wa kutosha juu ya mfumo wa Elimu wa Tanzania na nchi zingine

3. Bado haujafahamu changamoto za elimu ya Tanzania na utatu,I wake. Bado fikra kuwa elimu ya Tanzania ina walimu waliofeli. Sio kweli. Masters ni nyingi huku tatizo ni mfumo unafanya mtu aonekane mwalimu hana analolifahamu kuliko mwanasiasa aliyefeli akapigiwa kura akawa hata diwani.
 
Inakuwaje wabongo wanaotaka huku wanaenda kusoma huko oxford university na wametokea public/government schools.
Inabidi tuje na statistics ya watoto wote waliosomea international schools , English medium and st kayumba wako wapi kwa muda huu na wanafanya nini.
Sitaki kuponda kula Serena hotel eti ni sawa na kula kwa mama ntile pale kimboka buguruni.

Ila ueelewe kuwa binadamu sio logic/reason being Bali ni emotions creature anayejaribu kuwa reason logically.

Kuna human ego pia mkumbuke


Sidhani kuwa huko ndiko kunakufanya uwe na uwezo,Kama ni mziki you can learn anything on the internet ishu kubwa ni mtu kuwa na passion


We're emotions creatures we try to be logic or reasoning
 
ukiwa maskini automatikali akili yako inajidifensi kuona hizo shule hazina kitu ila ungekua na pesa nadhani ungeelewa zaidi maana akili i gekua inaona mazuri zaidi kuliko mabaya
Unachoongea ni sahihi Ila Kuna jamaa mmoja akasoma ist Halafu saivi ni it kwa kampuni uchwara Fulani ivi


Ila elewa suala la ego , boastfulness. Kuna vijana wanamaliza udsm wanasepa zao kupiga PhD and masters zao huko uk, Australia, German,USA etc hapo napo inakuwaje
 
U
Unasifia mwizi wa Havard so Havard inafundisha wizi,kujua kitu sio unitumie kuiba why usifanye mazuri zaidi ukubalike na utangaze jina la chuo chako
 
 
International schools ni habari nyingine mkuu.

Achana na hizo za ada kubwa ya 50m annual kuna moja ipo morogoro primary ni 4.5m annual, secondary ni 17m annual kama sijakosea, ni mtaala wa cambridge.

Kwa hizo cambridge schools primary mtoto anaanza akiwa na miaka 5 mpaka miaka 11.

secondary anapiga 2 years kuanzia miaka 14 mpaka 16 hapa habari ya shule inakuwa imeisha

likizo anaenda zake marekani, england au canada kula upepo mwanana

chuo anapiga mbele huko kina havard, cambride,oxford
 
Umefanya utaft au unakurubuka kuuliza iv kwanza ww ebu tutajie mojawapo ya international schl labda ujui?
 
Wa
Kidogo wewe hujawa biased ,ishu Kama ni biashara wafanyabiashara wakubwa mno na investors wanakuambia kuwa pamoja na kusoma Havard school of business haikumuandaa kuja kuwa trader mzuri ama entrepreneur wa uhakika Bali amejifunza kwa internet. Mie nachopenda ni mwanangu awe na passion, perseverance, committed, dedicated, desire ya ku achieve ndoto zako .

Mwishowe ama kwanza kabisa awe na emotions intelligence kuliko IQ like mental resilience,composure, yaani aijue intuitive mind than logic reason brain which is faithful servant.
Yaani akiwa na upendo wa kukomaa ama kujifunza kitu mwenyewe akakipenda am sure hii inashinda degree zote duniani.


Warren Buffett ameanza kuwekeza katika stocks akiwa 11 , Elon musk,Bill gate wamesomea vyuo Gani. Lazima tukubali pia kuwa na ego ina influence some of our decision making
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…