Umeelewa nilipoquote lkn au umekuja tu kujibu yangu?Sasa itakubali vipi bila ya kuwasha data [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]data ni tofauti na bando ...washa data bila ya bando kisha washa vpn ..ngoma inakonecti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilipoquote lkn au umekuja tu kujibu yangu?Sasa itakubali vipi bila ya kuwasha data [emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]data ni tofauti na bando ...washa data bila ya bando kisha washa vpn ..ngoma inakonecti
We ni mgonjwa kumbe sasa infinix ni simu? Brand zote kali nazijua ndo mana nikamalizia mwishoni kwa kuandika bila shaka ni wanzuu nikimaanisha tecno, itel, infinix..ndo watumiaji wake wanapenda mserereko sababu sio rahisi ukute mtu ana macho matatu anahangaika na Free internetMkuu, jaribu kuwauliza google kuwa infinix hot 10i zina uwezo upi kwenye battery, ukikuta ni 6000 mAh rudi hapa uweke like, kisha upita kimyakimya wanaozijua simu wasije kukucheka!
Asemayo nikweli, simu yangu pia nikiwasha wiretune nikianza kuperuz chaji inakimbia fasta mno na simu inakiwa na joto ambalo sio la kawaida.Unasimu kopo lenye betri bomu unasingizia VPN.
Soma alicho sema ...kasema kazima data voda maana yake raini yake ya voda ndiyo ilikuwa na data...hivyo akazima data voda na kuwasha halotel data ka hivo vpn ndiyo ikakubali
Natumia halotel na nimeweka thunder vpn ila ila kila nikiwasha data vpn inaload na kufeli kwa kuwa sina data, nifanyeje hapo?Nimetumia thunderstorm VPN inakubali lakini iko slow Sana
Tutafute hela tu mimi nimetoka kuifuta sasa hivi baada kuona inaanza kunizingua.Kuna mtu anatumia vpn na inaspidi maana naona ni Kama mwendo wa kobe
Ni usumbufu sana, vyabure vinagarama zakeNimetumia hizo wire turn, thor etc lakini nilikuja kuona naichosha tu simu yangu maana zina run background, network bandwidth ndogo, slow internet connection mwishowe simu ina struggle sana ku access internet inaishia kupata moto kuliko kawaida yake. Kwanini maisha ya betri yasipungue!
haha ulikuwa unatumia vpn ipiTutafute hela tu mimi nimetoka kuifuta sasa hivi baada kuona inaanza kunizingua.
Hello wanajamii forums,
Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c
Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa matumizi ya kawaida pasi na kuwasha data, au masaa 40 kama nitaacha data on! Sasa imegeuka nahisi si zaidi ya 1400 mAh. Mwanzoni wakati naanza kutumia hizo huduma, simu ilichemka kuliko kawaida, kuna wakati niliiweka kwenye friji ili ipunguze joto, maake nilihisi ingelilipuka. Nimetumia kwa muda sasa kiasi kwamba simu ilichukua masaa sita tu kuwa na chaji. Ndipo nilipoamua kufuta app hizo! Mbali na kuchukua hatua hiyo, simu yangu inatunza chaji kwa muda wa masaa nane tu, niwashe data, nisiwashe data, niitumie, iwe screen off, niizime, nisiizime! Haya yote yamekuwa bure! Masaa nane tu ndio yaliyobaki kuniweka hewani! Vya bure vimeniponza!No free lunch in America
Thunder na WireTurnhaha ulikuwa unatumia vpn ipi
hiyo sijawahi tumia ila wire turn nilifuta nina http custon na ha tunnelThunder na WireTurn
Nimetumia kila aina tena zenye rate ya 4.5 - 4.9 starsLabda hizo vpn zenu ni za spy zina chukua vitu kwenye simu na kuvipeleka kwa mabepari
Watupe tu kwakweli mana bundle zinatufilisi.
Ila sasa kama ndio inaharibu betri mimi na Infinix yangu nitakoma.
Upo sahihi.Nimetumia kila aina tena zenye rate ya 4.5 - 4.9 stars
VPN zinachosha betri!