Sina haja ya kuthibitisha kwa picha maana unaweza kufungua net, muhimu nimehama kutoka Note 9 kuna Note 20 ultra USB-C cable tofauti na headphone yake pia ya USB-C sio zile za pin. Hazina pin note 20.Utofauti wake ni nini? Unaweza thibitisha kwa picha?
Uko sawa na mimi sijasema ni kitu kipya ila ziko simu nyingi za Samsung haziingiliani charges kuhusu earphone kwa mara ya kwanza natumia USB C japo mimi mpenzi wa note muda mrefu hii kwangu tofauti na kubwa Note-20 speaker zake ni high quality zina sound nzuri sana. Lakini uko sahihi katika maelezo yako, ThanksNadhan unacho maanisha ni kwamba wanatumia Type C to Type C cable baadala ya Type C to Type A iliyokua inatumika zaman. Type C sio kitu kipya, simu kibao zinazo. Kuanzia A20 kwenda juu zote zinatumia Type C. Na unaweza tumia Type C to Type A hata kwenye note 20. Ile ni cable tu mzee. Pia earphones wanazokupa ni za Type C pia kwasabab headphone jack (3.5 mm jack) imetolewa. Tena ni kuanzia S10 huko.
Angalia hzo picha hapo mbili, moja ni Type C to Type C, ya pili ni Type C to type A ndio tulizozoea
View attachment 1617858View attachment 1617859
Kila mtu anahamia Type C sshv. Ndio the new standard (kma iliyokua kila mtu atamia Micro USB na Type A). Hawawezi kaa na standard ya zaman kma micro USB wakati standard mpya ipo tayari. Hadi infinix wanaanza kutumia Type C kwenye Note series (Note 8) kwa mara ya kwanza. So inabdi uzoee tu type CUko sawa na mimi sijasema ni kitu kipya ila ziko simu nyingi za Samsung haziingiliani charges kuhusu earphone kwa mara ya kwanza natumia USB C japo mimi mpenzi wa note muda mrefu hii kwangu tofauti na kubwa Note-20 speaker zake ni high quality zina sound nzuri sana. Lakini uko sahihi katika maelezo yako, Thanks
No nimeipenda sana tu sababu sound quality iko vizuri sana na kikubwa speaker za Note-20 ziko clear sana.Kila mtu anahamia Type C sshv. Ndio the new standard (kma iliyokua kila mtu atamia Micro USB na Type A). Hawawezi kaa na standard ya zaman kma micro USB wakati standard mpya ipo tayari. Hadi infinix wanaanza kutumia Type C kwenye Note series (Note 8) kwa mara ya kwanza. So inabdi uzoee tu type C
Ila wameuza sana mkuu, ila huyu Tim Cook hayuko vizuri kama alivyokuwa Jobs nadhani itafika muda wataanza ship simu bila betri
Umeongea kwa uchungu sana[emoji3][emoji3]huu ugonjwa unawakita sana watumiaji wa I phone haswa wageni...
.
bas ukishakuwa na iyo iphon x au 11 unaona ushamaliza dunia nzima wakt nyumbani kwako unamatatizi kibao...
.
pole sana...
Umeongea kwa uchungu sana[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani kama kafiwa ndio shida ya kutokua na Pesa kila kitu unaona kama watu wanatumia ela vibaya [emoji16][emoji16][emoji16]
Deales huko bongo wako wengi sana, unata mmojawapo?mkuu kama sina kumbu kumbu wenge limeanzia iphone ×.
ukibadili kioo tu msala,kinaondoka na face id au kinapungua sensor touch.sababu hawataki spare za simu iliyofungwa(icloud) zipate soko,kama mnavyofanya bongo kuuza simu spare zilizofungwa icloud.
wanataka uende store zao(kwa dealers wao tu)sijui kama wapo bongo,wakuchape kioo cha iphone x OG ambacho hakipungui 500k ambacho ni kipya hakijawahi kutumika na simu yoyote.hapo ndio mambo yatakuwa safi.
Unamaanisha cable zake ni type c kwenda type C na za Note 9 ni type A kwenda Type C?Sina haja ya kuthibitisha kwa picha maana unaweza kufungua net, muhimu nimehama kutoka Note 9 kuna Note 20 ultra USB-C cable tofauti na headphone yake pia ya USB-C sio zile za pin. Hazina pin note 20.
Wanazuia zile locked iphone kuuzwa kama spare parts
Hata Samsung nao ndiyo wanako elekea hawatauza na charge makampuni mengi tu yataungana na Apple ni suala la mda tuIla wameuza sana mkuu, ila huyu Tim Cook hayuko vizuri kama alivyokuwa Jobs nadhani itafika muda wataanza ship simu bila betri
ishu ni sababu,haieleweki.Hata Samsung nao ndiyo wanako elekea hawatauza na charge makampuni mengi tu yataungana na Apple ni suala la mda tu
ishu ni sababu,haieleweki.
kwani kuja charger peke yake kunazuia vipi uchafuzi wa mazingira!!!!!
tu assume kama unavyosema iphone amemuua Nokia unaweza jibu maswali haya?BB, Nokia ziliuliwa na iphone baada ya iphone kubadili upepo wa simu mwaka 2007 kutoka physical button to fully screen touch. Kampuni inaweza isife yenyewe ikauliwa na competition. Nokia na BB walikutana na suprise sokoni wakafa
Kuhusu vifaa kutoingiliana, hili jambo lina pros and cons na limekuwepo muda mrefu sana hasa kwa apple , niwakumbushe tu kwamba ni muda mrefu sasa huwezi kuhamisha touch ID toka iphone moja kwenda nyingine. Hii ni tangu touch id zitoke kuanzia 5s, ukihamisha tu haifanyi kazi tena.
tu assume kama unavyosema iphone amemuua Nokia unaweza jibu maswali haya?
1. Nokia walikuwa maarufu sana kwa simu za vitochi, walikuwa wakiuza hadi vitochi milioni 100 kwa mwaka, je kuna iphone za kitochi?, hawa wateja wa vitochi wananunua iphone ipi? ama wananunua itel na wenzie?
2. Nokia alikuwa akiuza hadi simu milioni 500 kwa mwaka, je kampuni ambayo hata haifikishi simu milioni 200 inaweza ikameza wateja wa kampuni yenye milioni 500?
3. Nokia hawakuwa maarufu North America bali walikuwa maarufu sana Africa, China, south America, asia, Europe etc je haya maeneo siku hizi ni iphone imetawala?
hapa mkuu umeingia chaka, Nokia kwa maana symbian zilikuwa na whatsapp, kipindi hicho ilikuwa ni kawaida kukuta fans wa hizo os mbili wakililia apps mbalimbali zilizokuwa kwenye os za Nokia, nakumbuka siku firefox inazinduliwa kwenye maemo ikiwa na full support ya flash, ulikuwa unaweza angalia youtube, ukaingia firstrow kucheki mpira etc, it was revolutionary, hukuweza fanya haya mambo kwenye android ama ios.Nokia alishindwa adapt technology enzi anauza vitochi na simu zingine kuna kitu kinaitwa smartphone kilikua bado ni kitu changa sana kwake kwahiyo basi Apple akaja na kitu inaitwa smartphone ambayo ina karibu kila kitu unafanya kwenye mikono yako Nokia akapotea sehemu ndogo kutoboresha OS zake kuendana na soko Imargin kukawa na apps inaitwa instagram whatsapp kwa simu kama Nokia zikachelewa kua na hizo apps Apple akawapiga gap na hzo apps zikapendwa na watu wote duniani hapo ndio Game ika change kabisa mtu ushaachwa hapo wanakuja kustuka mambo yako mbali basi ndio ikawa hivo mpaka leo twaona hivi....walipotea wengi sana hicho kipindi kama motorola,sony ericsson etc Kuja kupatikana Mkombozi Android was too late [emoji3]
hapa mkuu umeingia chaka, Nokia kwa maana symbian zilikuwa na whatsapp, kipindi hicho ilikuwa ni kawaida kukuta fans wa hizo os mbili wakililia apps mbalimbali zilizokuwa kwenye os za Nokia, nakumbuka siku firefox inazinduliwa kwenye maemo ikiwa na full support ya flash, ulikuwa unaweza angalia youtube, ukaingia firstrow kucheki mpira etc, it was revolutionary, hukuweza fanya haya mambo kwenye android ama ios.
kama hufahamu mkuu, that time hata android haikuwa na copy and paste,
siku Elop anasema symbian ni burning platform Nokia ilikuwa ni Kubwa kuliko Apple na Samsung combined, Nokia haikufa kwa external factor kama watu wengi wanavyodanganywa bali ni ujinga wa watu fulani ndani ya Nokia.