iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

Hata Adobe ameanza kuelekea Huko na version zake za CC wanahama kidogo kidogo
 
Hata Adobe ameanza kuelekea Huko na version zake za CC wanahama kidogo kidogo
Yes, nimeona wanasema Adobe imekuwa mfano wa kuigwa kwa jinsi inavyofanya transition kwa utaratibu mzurikuhamia kwenye cloud.
 
Ila mimi sijaipenda, labda kwavile sijaizoea
Mkuu ndiyo future ya softwares, haya masuala ya ununua software nahisi wameona yanawakosesha mapato ila zikiwa zina run kwenye cloud unalipia subscription.
Mimi mwenyewe sijaitumia ila kuna jamaa yangu anapiga graphics balaa anaipenda sana hiyo kitu. Ana kisurface chake basi ukimkuta anafanya maajabu humwambii kitu.
 

Umemaliza ila
Kuna watu wanaweka unazi na hisia mbele
 
Unaongea wewe lakin kwa hili amini nakwambia mtumiaji wa iphone atakuwa salama zaidi maana huwez kuibiwa simu hata na wezi pia usalama wa taarifa zako ni mkubwa

Hizo simu ndiyo maana hawatumii chokà mbayaa

Utaambiwa wewe mshamba na hawa maskini
 
[QUOTE="Chief-Mkwawa, post: 37200413, member:

2. Highend za Nokia zilitumia Open source kuanzia 2004 Maemo mpaka 2011 Meego, Simu kama N9, N900, N800, N810 etc zilitumika na Mahackers mbali mbali, Watu wanaorun distro mbalimbali za Linux, watu wanaocode na mambo mengi ya super users, so unataka kuniambia hawa watu ghafla wakaacha kuwa super user na wakaenda jela ya Ios?

3. Symbian pia ilikuwa ni maarufu kwa watu wanaopenda kutumia simu kwa matumizi makubwa, kudownload movies, miziki, magame mbalimbali, emulators, kucustomize simu, themes etc mambo haya hayakuwepo iphone na huwezi ukatoka kwenye hivi vitu ukaingia jela na kuwa sawa.

Hakuna hata mmoja anaeweza kuprove iphone imeiua Nokia ni Blah blah na Propaganda za kimarekani tu.

Lete reason hapa.[/QUOTE]

Ni 1% ya watu wanaotumia simu ndo wanaitumia kwa mtindo unaousema hapa.

Kiuhalisia Nokia imeuliwa na mtindo mpya wa utengenezaji wa simu (smartphone) ulianzishwa na kina apple, samsung, htc na wengine wanafuata.

Nokia walishindwa endana na mahitaji ya wakati na ukuaji wa tech.
 
Then kwanini Iphone ya kwanza ilivyotoka Nokia alimshtaki Apple kuhusu kumuiga Touchscreen na Apple akashindwa na Hadi leo kila iphone inayouzwa Nokia analipwa hela kwa sababu wameiga tech za watu?

Hawa ni wazee wa propaganda.
Kwanini Nokia asingetumia tech yake kutengeneza simu kama iphone 3gs au 4?

Ni sawa na mtu mwenye shamba kubwa ila asilitumie. Nokia pamoja na ukubwa wao walishindwa kuendana na wakati.

Na sababu nyingine kubwa zaidi, Nokia was too big, bureaucracy ilichangia kuwafanya wasiwe flexible kwenye kuendana na mabadiliko.
 

Jamaa unachekesha sana , reason za nokia kufa ni kwamba walishindwa ku compete walijisahau kwenda na technology . Kwa hiyo ulitegemea hao hackers na hao superusers ndo waiweke nokia kwenye ramani ? Huoni ni vichekesho ? Watu wana target general public wewe unaongelea hackers ? Are u serious with business.

Pia kumbuka kampuni haifi kwa siku moja kwamba ina sales ya unit mil 500 then inakufa , Nokia ilianza kufa kuanzia 2007 baada ya ios then android , wao wakajisahau ikafika kipindi washapitwa mbali wakakimbilia microsoft naye akafa (nimetumia nokia zote hadi wondows phone najua nachokiongea. Kama unaitetea kishabiki itetee but nokia could not compete. Sasa wamekimbilia android nako ni too late game ishakuwa ngumu .

Mambo ya kusema ilikufa sababu ya internal issues ni kweli sababu they failed to catchup baada ya external factors kuwa zimeipiga .

Wao wana akili na wanaijua biashara yao kuliko wewe, wewe ni mteja tu, ndo maana walikimbilia kubadili badili na kuiuza . Nokia tuliipenda lakini ndo hivyo ukweli usemwe na ukweli ukweli utakufundisha jambo.

The same thing ilitokea kwa BB. Market forces ziliwazidi uwezo hayo mengine unayoleta ni propaganda , kwanza ni aibu kuanza kuilinganisha apple na nokia interms of mafanikio.
 

Huyu Mkwawa analeta ushabiki ambao hauna hata maana yaan kifupi ana nokia yake kichwani ambayo in reality haipo , hata mtoto mdogo anamcheka. sababu za nokia kufa ziko wazi kabisa , soko la simu walikuwa nalo wao waka relax , Apple waka run secret project ambayo its either ingelipa au ingefail lakini ikaja kulipa Nokia wakashtuka muda ushaenda, Android walishtuka mapema sana wakaendana na wakati . Haya mambo jamaa anasema ni propaganda. Daah
 
Unaweza kudhibitisha kwa data unachokiongea? Kwamba kuanzia 2007 Nokia mauzo yalianza kushuka? Unajua Golden Age ya Nokia ilikuwa ni 2010/11 miaka minne toka itoke iphone? Na mpaka leo Nokia 5250 imeuza zaidi ya unit 150m?
 
Mimi ninaongea propaganda nina data kila ninachokiongea naweza kukithibitisha kwa data.

Wewe unaongea ukweli huna data bali blah blah za kutosha? Lete data na source za uhakika
 
Mkuu mtu yoyote anaeongelea sababu ya Nokia kufa ni internal conflicts huwa simpingi sababu nafahamu kinachoendelea na Nokia ilikuwa kubwa sana kupelekea Elop kuia Kabisa.

Ila kusema Nokia haikuenda na wakati ama haikua na product ni ukosefu wa exposure na kilichokuwa kinaendelea wakati huo,

Mwaka 2010 wakati Elop anai discontinue symbian Nokia 5250 ndio ipo sokoni, ilivunja rekodi zote za mauzo even today hakuna smartphone iliouza unit milioni 150. Kwa zaidi ya miaka 4 toka iphone itoke Nokia anauza simu zaidi ya milioni 400 kwa mwaka haya ni mauzo ya Nokia Toka 2007 iphone inatoka mpaka 2011

2007- 435M
2008- 472M
2009- 440m
2010- 461M
2011- 422m

Hivyo mkuu Nokia ilikuwa Vizuri tu kimauzo wakati symbia ipo hai, siku Elop anaidiscontinue symbian na Meego na kuanza kutoa simu za s30+ pamoja na windows phone ndio mauzo yakashuka.

Haya ni mauzo ya iphone at same time frame
2007- 2m
2008- 12m
2009- 24m
2010- 46m
2011- 89M

Miaka 4 ya mwanzo toka iphone izinduliwe mpaka kuuliwa kwa symbian Apple ameuza simu milioni 84 wakati Nokia ameuza kama Bilioni 1.7

Hebu tutumie akili hata 1% inawezekana kweli kwa miaka hii minne kampuni yenye mauzo milioni 80 iliiua yenye bilioni 1.7?

Even today mwaka 2019 wote Apple Ameuza simu milioni 207 tu, hajafikia mauzo ya Nokia unit wise hata nusu.

Hivyo mkuu Nokia hakushindwa Sokoni bali ameshindwa kutokea Ndani ya kampuni, kosa moja la kumuajiri Ceo wa kigeni wa kwanza limewagharimu division ya simu.
 
Nimeanza kushawishika aisee
Unaongea wewe lakin kwa hili amini nakwambia mtumiaji wa iphone atakuwa salama zaidi maana huwez kuibiwa simu hata na wezi pia usalama wa taarifa zako ni mkubwa

Hizo simu ndiyo maana hawatumii chokà mbayaa
 

Ndugu yangu basi basi inatosha inatosha kunywa maji ushamaliza Nokia na BB walipitwa na mie niliepo buza najua hilo iOS ilikua ni Game Changer akatwist mambo yoote kuna na iPhone 3G dunia kwanza ikashangaa How.????
 

Mie si mtaalam wa tech ila napenda sana simu Huyu ndugu yetu chief wa iringa ni Mnazi kweli kweli wa Nokia then akaja kufia kwenye Android nimewaibishana sana nae nyuzi kibao humu miaka ya nyuma juu ya Mafanikio makubwa ya Apple ila wakaja na wenzioe matusi kibao oooh we mwanamke tu na maneno mingi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nikasema Apple ndio Game changer wa Masuala ya smartphone Nokia alikua vizuri na simu zao zilikua ni nzuri sana unakaa na simu miaka 3 ila bado inadai lakin wakaja achwa na technology sasa bwana yule yeye hua anaongea mambo magumu kama Ku hack au lugha za programming kwa watu wa buza au watumiaji wa kawaida akisema Apple si nzuri kwa mambo hayo sasa nan anataka ajue language za ku code au hacking na Programming [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…