iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

Unaweza uka upload hilo graph likiwa na majina? Siwezi kudiscuss number zisizo na majina.
 
Premium phone sio smartphone usitudanganye mkuu. Simu inaweza kuwa feature phone ikawa premium na inaweza kuwa smartphone isiwe premium

Leo hii xiaomi hadeal na Premium phone na ni kampuni ya 3 uuzaji smartphone Duniani.

Na Data nimekupa hadi za 2011 kwamba Nokia aliongoza mauzo ya smartphone, kauli ya 2008 kwamba Nokia anaondoka soko la smartphone inakuwa haina mashiko.
 
Nimekupa graph la Elop effect linaloishia 2011, hivyo mauzo ya Nokia yalishuka baada ya 2011 sababu elop effect ilisha tokea, hapo Nokia anacompete bila symbian hivi hizi data ni useless na zina support argument yangu na sio yenu.

Toka mwanzo tunachobishana hapa Mauzo ya smartphone ya Nokia yalianza kushuka mwaka 2007, baada ya Apple kuleta smartphone yake, unapoleta data za 2012 kwenda juu Huoni hutetei hoja yenu ya 2007?

Lete za 2007 kama mlivyosema mwanzo.
 
Duuuuh!!!!Si Mchezooooooo

Huu Mjadala Wa Uahitaji Ule Ushibe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



 

ina maana wewe hujui mapungufu yaliyopo android ama samsung??!

huwa unayajuaje kama hufatilii??,je ni udhaifu kufatilia nini kinajiri upande wa pili??

hata hivyo wewe kama shabiki mnazi wa apple hutajua hata akikosea sababu hujui wala huamini kama ana wengine wanaomshinda kwenye baadhi ya sector.
 
Umeongea point. Mimi kitu pekee kinachonifanya nisiipemde Iphone ni kukosekana kwa playstore[emoji3][emoji3][emoji3] mengine sijui kwasababu siwezi kufutilia mke wa mtu kafanya nini ilhali nina wangu.
 

1. Apple hakuja peke ake. Alikuja na Samsung. Kuna comment nimeweka sales za simu za samsung ambapo mauzo ya simu za chini ni makubwa unit wise kuliko hata hizo smartphones. Ndio maana nimekwambia kwenye comment zangu za juu, smartphone adoption was a steady process. Manufacturers wengi wa smartphone walikuja kureplace vaccum iliosababishwa na kufa kwa Nokia. Ndio maama sasa kuna smartphone za low quality kama infinity au tecno. Kuna mid range smartphones kibao. Na kuna flagships nazo za kutosha.

Kwa sasa tupo kwenye saturation ya smartphones uses duniani, usishangae mtu anauliza kwanini mauzo ya Galaxy s20 yameshuka kuliko matarajio. Almost kila mtu ana smartphone. Wanaonunua kila mwaka ni hobby na tech enthuasts. Ila basic users wamesharidhika na kuwa na smartphone. Labda iharibike anunue ingine.

2. Apple hakuja peke yake. Walikuja kina samsung, huawei, htc , motorola, nexus, lg n.k. Baadae kabisa ndo wakaja kina oppo, xiaomi, meizu n.k. Baada ya Nokia kufa, kulikua na soko lililo wazi. Hao smartphone makers nao wakaja kujimegea. Apple kumbuka ni premium brand ambayo mpaka leo watu wwngi hawawezi kununua simu zake. Wa mid na low range ndo wakauza simu zao na wao. Samsung na Huawei nao walikuwa na models zinazofanana na Nokia.

3. Iphone zimeanza kutoka 2007. Mpaka 2010 Nokia ameshachakazwa. Mpaka wakasema wanaishia kujitoa kutengeneza premium phones. Na mauzo yalikuwa yanashuka kila quarter. Symbian kufa ni suala la wakati, haikuendana na wakati na haikutimizia mahitaji ya wakati huo.
 
Unaweza uka upload hilo graph likiwa na majina? Siwezi kudiscuss number zisizo na majina.
Fungua hiyo link Chief. Nimetoa humo.

Au unaweza tafuta takwimu google ya mauzo ya simu kati ya apple nokia na rim.
 
Nimekuonesha statement waliosema viongozi wa nokia. Sio mimi.
 
Umeongea point. Mimi kitu pekee kinachonifanya nisiipemde Iphone ni kukosekana kwa playstore[emoji3][emoji3][emoji3] mengine sijui kwasababu siwezi kufutilia mke wa mtu kafanya nini ilhali nina wangu.
Mkuu hoja yako inachekesha sana aisee, play kuna application za android ambazo ni apk, haziwezi fanya kazi kwenye ios ambayo ina run iPhone. iPhone wana AppStore ambako utakuta kuna app karibu zote zilizoko kwenye playstore lakini ni mahususi kwa ajili ya ya iPhone.
 
Huyu jamaa anaitwa Cold Fusion. Anakupa historia ya Nokia the rise and the fall.

Concentrate kuanzia episode ya 2 na 3. Ndo utapata mantiki ninachokwambia toka mwanzoni kabisa.

Episode 1:
Episode 2:
Episode 3:
Hapo ndo inakuja na ile hoja yangu ya bureaucracy. Na timing ya kuanguka kwa Nokia kulianza 2006 mpaka kufika 2009 ilikuwa tayari imeshaelekea kibla.
 

Huyu die hard fan wa Nokia mkwawa anataka umueleze kwamba baada ya iphone kutoa simu 2007 basi hapo hapo Nokia ikafa, ndo ushahidi anaoutaka.. Anashindwa kuelewa kwamba 2007 ndo safari ya kuua Nokia na kuanza era nyingine ya smartphone ilianzia hapo . Anashindwa kuelewa kwamba kufa Kwa kampuni kama Nokia hakutokei over night ..
 
Mkuu na wewe pia una kichwa kigumu hivi?

Hebu nioneshe hapa kwenye data wapi Nokia hadi 2010 amechakazwa?



Mpaka 2010 inaanza Apple na Samsung combined hawafiki hata 15m wakati Nokia ana zaidi ya 25m mwenyewe.

Again leteni data maneno matupu hayasaidiii.
 

Sijawaiongelea simu au OS zingine zaidi ya Apple Hizo simu zingine sijui zikoje
 

Fungua hiyo link Chief. Nimetoa humo.

Au unaweza tafuta takwimu google ya mauzo ya simu kati ya apple nokia na rim.
Nimeingia kwenye link yako na nali upload hapa sababu kwako halikuwa vizuri



Nokia 2009 aliuza 67.7m na 2010 100.3m
Apple 2009 aliuza 25.1 na 2010 47.5
Samsung 2009 aliuza 5.5m na 2010 23m

Tutoe hizo figure sasa
NOKIA alikuwa na ongezeko la Mauzo 33M
Apple alikuwa na Ongezeko la mauzo 22M
Samsung Alikuwa na ongezeko la mauzo 18M

Sasa huoni mkuu data zako mwenyewe zinapingana Na wewe Na Nokia alikuwa na ongezeko kubwa la Uuzaji wa simu kuliko Kampuni yoyote?

Ulichodanganyika wewe ni hicho kichwa cha habari ambacho ni clickbait. Ila data pia zinapingana na hoja zenu.
 
AppStore mimi huwa naifananisha na mtu anayemiliki gari. Unanunua gari kama lilivyo, ukitaka nakshi unalipia. Ila android unakuta simu ni OKING lakini ina themes kama samsung. Yaani android users tunacustomize bidhaa kuwa na launch ya kile tupwndacho. Hata ukitaka theme ya iphone, unaipata playstore[emoji3][emoji3][emoji3] najaribu kuandika unielewe maana yangu mkuu japo si mwandishi mzuri.
 
Mkuu, ulishawahi kuona executive person amepimp gari lake kwa kulifunga spoilers, sijui ma rangi rangi, sijui kaifanyia engine mapping.
iPhone kuna soko kalilenga mkuu la watu flani amabo kuweka ringtone za oyo oyo, na themes siyo mambo yao. Unajua hata wauzaji magari wanajua hilo. Mfano Toyota Allion ilitoka kwa ajili ya watu kama vijana vijana ila wakaamua toa Premio kwa ajili ya executives. Halafu unajua ni rahisi mtu anayetumia samsung au Oking akatamani apate theme ya iPhone kuliko mwenye iPhone atake theme ya samsung.
Nakumbuka wayback nikiwa chuo tulikuwa tunatafuta sana themes za Macos tu transform windows iwe kama MacOs ila sikuwahi kuona mwenye macbook akitamani kuwa na theme iabadili OS yake ifanane na windows. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 

Naweza ku summaries andiko lako Kwa kusema โ€œThere is beauty in simplicityโ€

nilishaweka sana theme ya Mac OS kwenye windows enzi hizo ila ukikamata Mac huta kaa utamani theme ya Windows . Hard truth
 
Naweza ku summaries andiko lako Kwa kusema โ€œThere is beauty in simplicityโ€

nilishaweka sana theme ya Mac OS kwenye windows enzi hizo ila ukikamata Mac huta kaa utamani theme ya Windows . Hard truth
Ni ukweli mtupu, MacOs ina utamu wake. Sisemi wote, ila watu wengi mimi ninaowajua wanaokandia sana iPhone hawajawahi zitumia. Utakuta argument zao eti apps zinauzwa hata whatsapp, sijui wengine simu za kike yani arguement za kuchekesha.
MacOs kwa mtumiaji wa kawaida a kila siku mfano graphic designer, movie editor, hata kazi za kiofisi ni nzuri sana. Nilimsikia jamaa flani simkumbuki jina pia alikuwa akihojiwa na salama, akawa anasema alitaka ofisini kwake wafanyakazi wake watumie Macs kufanya coding kwakuwa anaamini kazi itakuwa safi.
 
Nakupata. Hapo ndio unakutana na "hobby" ya mtu. Mimi nimezoea kila baada ya mwezj nabadili wallpaper, ringtone n.k

Naipenda tecno ila samsung nimeipenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ