Wakiacha kupenda hela za kitonga ukahaba utaisha.Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Serikali inaweza kuchukua hatua na inaona kinachoendelea lakini kwa namna fulani serikali inanufaika na ilo suala kwaiyo inafumbia macho na kufanya tu danganya toto za hapa na pale ionekane inafuatilia. Nchini mwetu tatizo la umasikini na ukosefu wa ajira ni kubwa sana kama serikali ikitokomeza hao makahaba je itaweza kuwatoa kwenye lindi la umasikini? itaweza kuwapa ajira mbadala?. Serikali ikitokomeza hii biashara bila ku-provide alternatives kwa wanufaika wake maana yake hasira za hao wanufaika watazimalizia kwenye sanduku la kura. Hii sio kwenye ukahaba tu hata haya makanisa uchwara yaliotapakaa mitaani serikali inaona lakini kwa sababu serikali inahitaji population kubwa ya watu waliokua brainwashed kuukubali unyonge inaamua kuyaacha hayo makanisa yaendelee kuwepo maana dini ni nyenzo nzuri ya kumfanya mtu akubaliane na umasikini, ufisadi unaofanywa na viongozi n.k kwa ahadi ya kwamba ataishi vizuri ukifika mbinguni na hao mafisadi watatupwa motoni wakifa. Mambo mengi serikali inaona lakini kwa sababu kuna namna inanufaika nayo inaamua kukaa kimya tu, serikali ni kikundi cha wanasiasa tu wanaangalia masilahi yao. Wajibika na familia yakoUmesema kweli mkuu hapo kwenye sheria za nchi mimi huwa ndio najiuliza ni kweli serikali inashindwa kufanya chochote juu ya hili? Ili at least kunusuru kizazi kijacho
Ukahaba sio kunyanduana ila ni kunyanduana bila utaratibu kwa ajili ya kujipatia fedhaUKAHABA ni nini?
Ni watu kuzagamuana?
Hakuna wakati ambo kuzagamuana kulipanda wala kushuka
Waafrika wengi na wafia dini bado tuna overrate sana sex
Watu walioingia mkataba (ndoa) hao ndio wamejifunga lakini the rest twende kazi as long as ana umri stahiki
Good thinkingHakuna kurudi nyuma, ndio watajiuza na watanunua as days go kuliko zamani.
Kama unavyoona nauli ya daladala once ilikuwa shilingi tano(dala), ikaongezeka hadi leo 600, haturudi nyuma..the world isn't reversing at all.
Ni swala la kubadili fikra wala halihitaji kuwezeshwa watu mbona binadamu akipata tatizo huamsha ubongo wake na kulitatua tatizo na hapa Ndiyo tunajadiri namna gani tunaweza litatuaSerikali inaweza kuchukua hatua na inaona kinachoendelea lakini kwa namna fulani serikali inanufaika na ilo suala kwaiyo inafumbia macho na kufanya tu danganya toto za hapa na pale ionekane inafuatilia. Nchini mwetu tatizo la umasikini na ukosefu wa ajira ni kubwa sana kama serikali ikitokomeza hao makahaba je itaweza kuwatoa kwenye lindi la umasikini? itaweza kuwapa ajira mbadala?. Serikali ikitokomeza hii biashara bila ku-provide alternatives kwa wanufaika wake maana yake hasira za hao wanufaika watazimalizia kwenye sanduku la kura. Hii sio kwenye ukahaba tu hata haya makanisa uchwara yaliotapakaa mitaani serikali inaona lakini kwa sababu serikali inahitaji population kubwa ya watu waliokua brainwashed kuukubali unyonge inaamua kuyaacha hayo makanisa yaendelee kuwepo maana dini ni nyenzo nzuri ya kumfanya mtu akubaliane na umasikini, ufisadi unaofanywa na viongozi n.k kwa ahadi ya kwamba ataishi vizuri ukifika mbinguni na hao mafisadi watatupwa motoni wakifa. Mambo mengi serikali inaona lakini kwa sababu kuna namna inanufaika nayo inaamua kukaa kimya tu, serikali ni kikundi cha wanasiasa tu wanaangalia masilahi yao. Wajibika na familia yako
Kulitatua mmoja mmoja iyo haiwezekani unahitajika ushirikiano wa jamii na serikali. Serikali iweke mfumo mzuri wa elimu ambayo itampa skills za kujitegemea muhitimu wa kila ngazi ya elimu pia iboreshe sera za uchumi kumaliza tatizo la ajira na umasikini vile vile jamii iwajibike suala la malezi ikiwemo kuzaa idadi ya watoto ambao kipato kinatosheleza kuwapa malezi mazuri na kuwaandalia future yao, ukahaba utatoweka tu automatically. Swali ni je serikali ipo tayari kutokomeza ukahaba? Kama ipo tayari inaweza ku-provide ajira mbadala kwa hawa wadangaji? Wadangaji wenyewe wapo tayari kufa njaa kwa umasikini na ukoswfu ajira huku wakijua ukahaba unaweza kuwapa maisha?Ni swala la kubadili fikra wala halihitaji kuwezeshwa watu mbona binadamu akipata tatizo huamsha ubongo wake na kulitatua tatizo na hapa Ndiyo tunajadiri namna gani tunaweza litatua
Wazo lako zuri kwavile serikali, (Jamii), ilizembea kulitatua tatizo basi iwajibike Kwa kuwakusanya wote popote walipo na iwawezeshe hatimaye kudhibiti ukahaba TanzaniaKulitatua mmoja mmoja iyo haiwezekani unahitajika ushirikiano wa jamii na serikali. Serikali iweke mfumo mzuri wa elimu ambayo itampa skills za kujitegemea muhitimu wa kila ngazi ya elimu pia iboreshe sera za uchumi kumaliza tatizo la ajira na umasikini vile vile jamii iwajibike suala la malezi ikiwemo kuzaa idadi ya watoto ambao kipato kinatosheleza kuwapa malezi mazuri na kuwaandalia future yao, ukahaba utatoweka tu automatically. Swali ni je serikali ipo tayari kutokomeza ukahaba? Kama ipo tayari inaweza ku-provide ajira mbadala kwa hawa wadangaji? Wadangaji wenyewe wapo tayari kufa njaa kwa umasikini na ukoswfu ajira huku wakijua ukahaba unaweza kuwapa maisha?
Ni kweli na haya yanayoendelea Kuna kuwa na uzito watu kuoa/kuolewa, mtu kuwa na mwenzi zaidi ya mmoja ni Jambo la kawaidaMkuu,
Sasa hivi aghalabu sana kuona Ke/Me anaingia ndoani bila kuwa na msururu wake. Hivi vitu haviepukiki, hakuna Me atakuoa kwa kizazi hiki bila kukuvua, and that makes everyonea victim.
Jamii inatakiwa ibadilikeNi kweli na haya yanayoendelea Kuna kuwa na uzito watu kuoa/kuolewa, mtu kuwa na mwenzi zaidi ya mmoja ni Jambo la kawaida
Mmh!! Itachukua muda sana maana imekuwa tamaduni tayariJamii inatakiwa ibadilike
Hapo kuna ugumu ndugu yangu kumbuka hawa makahaba wanafanya biashara yao katika strategies tofauti. Tutakusanya wanaojipanga barabarani usiku mfano pale riveside vp kuhusu wanajiuza indirectly kupitia ndoa/mahusiano ya kimapenzi maarufu kama wadangaji? Suluhisho ni kutokemeza umasikini na jamii kuzingatia uzazi wa mpango na malezi yenye maadili then ukahaba utapungua tu automatically.Wazo lako zuri kwavile serikali, (Jamii), ilizembea kulitatua tatizo basi iwajibike Kwa kuwakusanya wote popote walipo na iwawezeshe hatimaye kudhibiti ukahaba Tanzania
Watu wanafanya ukahaba kupata utajiri sio tena kuondoa umasikini serikali haiwezi kumpa mtu utajiri ila inaweza kupunguza umasikini japo wapo wanaodanga kupata msosi wa sikuHapo kuna ugumu ndugu yangu kumbuka hawa makahaba wanafanya biashara yao katika strategies tofauti. Tutakusanya wanaojipanga barabarani usiku mfano pale riveside vp kuhusu wanajiuza indirectly kupitia ndoa/mahusiano ya kimapenzi maarufu kama wadangaji? Suluhisho ni kutokemeza umasikini na jamii kuzingatia uzazi wa mpango na malezi yenye maadili then ukahaba utapungua tu automatically.
Lazima kutakuwa na kikosi kazi kwa ajili hiyo watafanya situation analysis wengine tunaishi nao, kaulimbiu tokomeza ukahaba kwenye jamii zetu, lazima kuwe na platform maalumu watu tujadili na wao wakiwemo to know the root causeHapo kuna ugumu ndugu yangu kumbuka hawa makahaba wanafanya biashara yao katika strategies tofauti. Tutakusanya wanaojipanga barabarani usiku mfano pale riveside vp kuhusu wanajiuza indirectly kupitia ndoa/mahusiano ya kimapenzi maarufu kama wadangaji? Suluhisho ni kutokemeza umasikini na jamii kuzingatia uzazi wa mpango na malezi yenye maadili then ukahaba utapungua tu automatically.
Hata Kwa mboko yaani jamii iwe na mfumo utakao ibadilsha jamii kudhibiti ukahaba (Adapbility skills), elimu ya mabadiliko huwezesha kukabiliana na changotmoto katika Maisha na biasharaMmh!! Itachukua muda sana maana imekuwa tamaduni tayari
Itapendeza sana, pia kama kila mtu katika jamii kusimama kwenye nafasi yake inaweza kuwa msaadaHata Kwa mboko yaani jamii iwe na mfumo utakao ibadilsha jamii kudhibiti ukahaba (Adapbility skills), elimu ya mabadiliko huwezesha kukabiliana na changotmoto katika Maisha na biashara
Sheria pekee haziwezi kupambana na demand wanayokuwa nayo wateja. Na demand ikiwepo, supply itatokea tu. Dunia nzima, biashara hiyo imeshindikana kukomeshwa kwa sheria.Kwanini vitumike vitisho na si utungaji na utekelezaji wa sheria wezeshi mimi nafikiri iwe hivyo
Wateja wana uhitaji zaidi kuliko wauzaji hii biashara itakuwa na faida sana kwa wauzaji ndio maana hawaiachiSheria pekee haziwezi kupambana na demand wanayokuwa nayo wateja. Na demand ikiwepo, supply itatokea tu. Dunia nzima, biashara hiyo imeshindikana kukomeshwa kwa sheria.
Serikali ituache tuwawajibishe wanetu na watoto wa ndugu zetu wanapokosea haya maswala ya haki za mtoto yanaharibu kizaziHata Kwa mboko yaani jamii iwe na mfumo utakao ibadilsha jamii kudhibiti ukahaba (Adapbility skills), elimu ya mabadiliko huwezesha kukabiliana na changotmoto katika Maisha na biashara
Hapa mkuu umeongea, serikali inanufaika na ujinga na umasikini wetu bila sisi kuamua mustakabali wa jamii yetu serikali kamwe haitahusika na sisi tatizo nikuwa sheria zinatubana endapo tukiwawajibisha hawa wanaochafua hali ya hewaSerikali inaweza kuchukua hatua na inaona kinachoendelea lakini kwa namna fulani serikali inanufaika na ilo suala kwaiyo inafumbia macho na kufanya tu danganya toto za hapa na pale ionekane inafuatilia. Nchini mwetu tatizo la umasikini na ukosefu wa ajira ni kubwa sana kama serikali ikitokomeza hao makahaba je itaweza kuwatoa kwenye lindi la umasikini? itaweza kuwapa ajira mbadala?. Serikali ikitokomeza hii biashara bila ku-provide alternatives kwa wanufaika wake maana yake hasira za hao wanufaika watazimalizia kwenye sanduku la kura. Hii sio kwenye ukahaba tu hata haya makanisa uchwara yaliotapakaa mitaani serikali inaona lakini kwa sababu serikali inahitaji population kubwa ya watu waliokua brainwashed kuukubali unyonge inaamua kuyaacha hayo makanisa yaendelee kuwepo maana dini ni nyenzo nzuri ya kumfanya mtu akubaliane na umasikini, ufisadi unaofanywa na viongozi n.k kwa ahadi ya kwamba ataishi vizuri ukifika mbinguni na hao mafisadi watatupwa motoni wakifa. Mambo mengi serikali inaona lakini kwa sababu kuna namna inanufaika nayo inaamua kukaa kimya tu, serikali ni kikundi cha wanasiasa tu wanaangalia masilahi yao. Wajibika na familia yako