Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hilo nalo neno, mtoto ambae hana maadili ukimuonya anakufugia mbwa Tena wakizunguSerikali ituache tuwawajibishe wanetu na watoto wa ndugu zetu wanapokosea haya maswala ya haki za mtoto yanaharibu kizazi
Asaivi wazazi wanawaogopa watoto kwa kuhofia serikali
Tatizo liko kwenye Jamii zetu Kwa kuamua kufumba macho ama kuziba masikio Kwa mambo mengi ambayo hayako sawa kwenye jamii zetu hata Yale ambayo serikali inakosea na hilo Ndiyo limetufikisha hapa tulipo kibaya zaidi wale tunao wapa dhamana huahirisha kufikiri Kwa nafs, (human herding), kwasababu ya kujipendekeza ama uoga wa viongozi wao na kuamua kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsiHapa mkuu umeongea, serikali inanufaika na ujinga na umasikini wetu bila sisi kuamua mustakabali wa jamii yetu serikali kamwe haitahusika na sisi tatizo nikuwa sheria zinatubana endapo tukiwawajibisha hawa wanaochafua hali ya hewa
Unaweza ukamuona mtoto wa ndugu yako au hata jirani yako anafanya kitendo si cha maadili ukimkemea au kumuadhibu akikupeleka kwenye mkono wa sheria hutoki hapo ndipo jamii inajitenga na kubaki kuangalia tu uovu unaotendeka na wasifanye chochote
Muache kununua ili tukose wateja...nimejibu sahihi?Wewe unaonaje mkuu nyie muache kuuza au sisi tuache kununua ili biashara haramu ikome
Kuna kundi kubwa linanufaika na uozo huu achilia mbali serikali kwaiyo ukitaka kukomaa utajikuta pekeako na ukifikishwa mbele ya sheria huna mteteziTatizo liko kwenye Jamii zetu Kwa kuamua kufumba macho ama kuziba masikio Kwa mambo mengi ambayo hayako sawa kwenye jamii zetu hata Yale ambayo serikali inakosea na Hilo Ndiyo limetufikisha hapa tulipo kibaya zaidi wale tunao wapa dhamana huahirisha kufikiri Kwa nafs, (human herding), kwasababu ya kujipendekeza ama uoga wa viongozi wao na kuamua kulitumikia kundi Fulani kwa masilahi binafsi
Sijaelewa mkuu,unamaanisha kufanyaje?Tukiacha mnatupa ofa ya mwaka mzima bure kutuvuta vizuri hili nalo walionaje
Nakubaliana nawewe mkuu mana kasi yakumtetea mtoto wa kike inavyoongezeka na ndiyo mambo haya yanapamba moto wanawake wanaamini wapi huru kwenye kila kitu hata ongezeko la mashoga ni matokeo ya malezi ya kina mama haswa single mothers.Ukimfunza kijana mmoja wa kiume maadili, unaokoa mabinti kumi.
Lakini ukimfunza binti mmoja maadili basi unaokoa kijana mmoja wa kiume.
1=10
1=1
Binafsi naamini jamii bora iko mikononi mwa wanaume jasiri na bora.
Wanaume ndio watawala wa dunia hii
Point za civic hizo aiseee Bado point kama tatu tu haujamalizia😂😂😂Elimu ya amali (vocational training)
Kulinda mazingira ili kilimo kisife
Kuimarisha maadili ya familia
Ndiyoz! watuz wanapataz ze utamuzi, kumbez wenginez wanapataz mangonjwaz!, tenaz wanakufaz mapemaz, tuliambiwaz ze utamuzi umekaaz pabayaz,(mimiz nasemaz pazuriz), kilamtuz anapapendz Wanawakez wa kisasaz washambaz etiz wajanjaz wanajuaz kuvaaz nguozi zinazo onyeshaz mferejiz wa canaliz.Hahaha inatakiwa tutumie jicho la tatu kulidhibiti hili tatizo tusikatishane tamaa atakaye jenga maadili kwenye Jamii zetu ni sisi wenyewe mbona zamani waliweza Naam baada ya jamii kupata changamoto mafuvu yameanza kufanya kazi hakuna lisilowezekana duniani binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiriSheria pekee haziwezi kupambana na demand wanayokuwa nayo wateja. Na demand ikiwepo, supply itatokea tu. Dunia nzima, biashara hiyo imeshindikana kukomeshwa kwa sheria.
Elimu, elimu, elimu na watu wajishughulisheSuluhisho ni kifanyike nini
Mkuu umefanya research lakini kuna maeneo sasa hivi iwe mchana au usiku haswa kwa jiji la Dar ni biashara hii imeshamili achana na maeneo zoelefu yale ila nazungumzia maeneo mengine kabisa.Hakuna ongezeko lolote la hi biashara ni vile tu camera zinawafata sana na hawa watendaji wamefanya kama ni kazi ya msingi wanajua kabisa wana wimbi la vijana wasio na ajira utawadanganya wajiajiri lakini kwa takwimu walivyo wengi na jinsi ya kupata masoko ya chochote kilicho zalishwa hakuna namna wanaweza kutoka.
Mkuu kazi ya ukahaba ni ngumu sana wanaofanya wamejitoa hasa ni wazi hawana optionsMkuu umefanya research lakini kuna maeneo sasa hivi iwe mchana au usiku haswa kwa jiji la Dar ni biashara hii imeshamili achana na maeneo zoelefu yale ila nazungumzia maeneo mengine kabisa.