Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wote wanyang'anywe vifanyio na vitunzwe museums!Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Cost n kubwa kumiliki Demu bora kununua.Watongoze wawe na mahusiano ya kudumu
Madomo zege wengi ndio wanunua malaya
Hyo biashara ilikuwepo tangia kipindi cha Yesu kristo haiwezi kuisha kamweKumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa cheap na kujiuza kwa ajili ya kujikwamua kimaisha au kutimiza malengo yao.
Je? Ni ipi njia sahihi, wanawake wawezeshwe waache kujiuza au wanaume waache kununua malaya ili kupunguza ongezeko la ukahaba?
Nawasilisha
Bora iwe hivyo tu maana hamtaki tuzaane.Hahahhah kwaiyo tusizaane si kizazi kitatoeka
Utaweza kuipunguzaje?Una kifaa cha kudhibiti desires/nyege za waja?Ni kweli hatuezi kuimaliza ila tunaweza kupunguza
Hata ukimwi upo na ulikuwepo toka wengine hamjazaliwa lakin taifa linapambana kuupunguza kasi ya maambukizi
Nzi pamoja na hasara zake ana faida ya kupunguza msongamano wa watu duniani.Hiyo kazi ipo duniani kabla hata Mwokozi hajazaliwa mkuu
Utandawazi umefanya ionekane ongezeko ila sisi wa kitambo tunaijua muda enzi za SLP
NAKAZIACost n kubwa kumiliki Demu bora kununua.
Hadi hapa tulipo hatuwezi kutatua chochote mkuu, ingia fb, x, badoo, tinder nk ndio utanielewa. Malaya wanakuwa requested kama bidhaa, no way utaweza hata kupunguza tatizo.Tunaweza tusirudi nyuma ila tukapunguza kasi, hata hizo nauli watu walilalamika ni vile tu basi serikali yetu sio sikivu
Haya mambo yakizidi yatabisha hodi kwa kila familia ikiwemo mimi na wewe vipi mkuu hulioni hili?
Ndiyo ujue kukabiliana na ukahaba ni sawa na kutaka kulifunika jua kwa blanketi.It will never work at all!Kuzaana ni tunu ya taifa tunaongeza walipa kodi
Kweli kabisa...yaani kumilliki demu ni balaaa alafu mbaya zaidi eti bado mnashare na majamaa wengine. Sasa sii yaleyale tuu.Cost n kubwa kumiliki Demu bora kununua.
Nani anawadanganya ninyi?Ukiona huwezi kuwa na mwanamke mmoja ujue wewe ndiyo tatizo lenyewe.Unashindwaje kukaa na kiumbe unachokizidi akili?Kweli kabisa...yaani kumilliki demu ni balaaa alafu mbaya zaidi eti bado mnashare na majamaa wengine. Sasa sii yaleyale tuu.
Sasa nakaa na mwanmke mmoja ili nigundue nini? Am an explorer mate....wacha tuone hizi chupi vimeficha dhahabu gani. Wee kila leo mbususu hiyo hiyo aise mbona maisha boring kinoma.Nani anawadanganya ninyi?Ukiona huwezi kuwa na mwanamke mmoja ujue wewe ndiyo tatizo lenyewe.Unashindwaje kukaa na kiumbe unachokizidi akili?
E u nionesheni huyo demu asie na gharama maana mie kila nikigusa utasikia mzabzab nina hamu na pizza, kodi imeisha, mjomba kameza shoka naomba hela ya hospitalHuyo wa kushare ni malaya sio demu, demu hana gharama at all