Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Uko n model ipi kakaHzo zote hazifui dafu ndani ya xiaom
Kuhusu redio Ina maana hawana uhakika wako review wata update information.Chief-Mkwawa ninaomba kidogo uniambie kuhusu redmi note 10 nikiingia gsm naona upande wa redio wameandika unspecified.je inayo au haina pia kuhusu sim kuipa kioo cha corning golila 3 je hailet madhara makubwa kama vile ingepewa 5? Je bei nilionunua jana ya promotion380 je kuna sim yeyote inayoizid spec hiissimu yenye bajeti hio
Asante mkuu ngoja nisubir ujio wake naiman by april 5 hiv itakua mikononiKuhusu redio Ina maana hawana uhakika wako review wata update information.
Na hakuna utofauti sana kuhusu hizo gorilla mkuu,
Na 380 ni bei nzuri sana, kwa Sasa ni simu nzuri zaidi kwa hio budget,
global version ina band zote, version ya india haina tigo na halotelNa vipi kuhus band zake za network napat 4g ya mitandao yote bongo
Redmi? Ni upgrade nzuri kutoka note 8/9. Kioo cha amoled na soc kubwa zaidiChief-Mkwawa hii xiaomi note ten unaionaje?
Unaizungumziaje M51, Oppo reno5 na Redmi note 10 pro mkuu Chief-Mkwawa nataka nichukue moja kati ya hizo msaada tafadhariG8/G9 ni kama poco m3 tu, specs za kawaida sana Ila zinakaa na chaji.
M31 Pia specs za kawaida.
M51 ni habari nyengine ina display kali, processor nzuri na chaji inakaa.
Kuhusu ukaaji chaji ni baina ya M51 na G9, G9 ipo vizuri zaidi kwenye web browsing na M51 ipo vizuri zaidi kwenye video playback, overall M51 kwa kiasi kidogo sana inakaa na chaji, ni kama draw hivi.
Angalia test ya gsmarena hapa
hizi simu hata hazifanani bei mkuu, kwa order ya uzuriUnaizungumziaje M51, Oppo reno5 na Redmi note 10 pro mkuu Chief-Mkwawa nataka nichukue moja kati ya hizo msaada tafadhari
Natamani nikutukane? Hivi unajua Oppo ana market share ya asilimia ngapi? Yuko Top 5 ya kampuni zinazouza sana simu duniani.Wadau naomba mnijuze,
Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Nashukuru ingawa umeiongelea note 10 badala ya note 10 pro Chief-Mkwawahizi simu hata hazifanani bei mkuu, kwa order ya uzuri
-reno 5 5g
-M51
-reno 5 4g
-redmi note 10
reno 5 5g yenyewe bei yake ni around 1m mpaka 1.5m ni premium midrange inayokaribia bei za flagship
m51 na reno 5 4g bei zinafanana na specs pia hazijaachana sana, bei zake ni around laki 7 mpaka milioni 1 hivi
redmi note 10 yenyewe kama mdau hapo juu ame pre order kwa laki 3 na 80, hivyo unapata redmi note 10 4 kwenye reno 5 moja.
ushauri wangu achana na premium midrange, kama mfuko hauruhusu redmi note 10 ama 10 pro ni simu nzuri sana, na siku hizi zinatumia amoled (tena za samsung) zimezidi kuwa solid choice kwa midrange. kama mfuko unaruhusu na hio 1m ama 1.5m unayo tafuta budget flagship badala ya premium midrange, zipo simu kama Samsung galaxy s20 FE, Xiaomi poco F2 pro, oneplus 8 ama 8T etc.
Kwa note 10 pro pia bei haitaongezeka sana around 450k mpaka 500k hivi. Sema pia ni best kwa class yake, 120hz amoled display.Nashukuru ingawa umeiongelea note 10 badala ya note 10 pro Chief-Mkwawa
Ufs ni kifupi cha universal flash storage, hizi ni Aina za storage zenye speed kubwa zinazotumika kwenye simu za bei ghali.Chief-Mkwawa nisaidie kuhusu ufs 2.2 ni nini hasa nn ufanisi wake kwa note 10,pia hii device ina notification light na pia ni glass kwa nyuma yenye aluminium frame
Simu za Amoled sio lazima ziwe na notification light waweza tumia display kama notification light, Zina uwezo wa kuwasha pixel chache na kuzima nyengine.Chief-Mkwawa nisaidie kuhusu ufs 2.2 ni nini hasa nn ufanisi wake kwa note 10,pia hii device ina notification light na pia ni glass kwa nyuma yenye aluminium frame
Hii simu not10 ni sh ngapiUfs ni kifupi cha universal flash storage, hizi ni Aina za storage zenye speed kubwa zinazotumika kwenye simu za bei ghali.
Zipo version nyingi Sana mfano kwa simu mpya kama s21 ultra unatumia ufs 3.1.
Kwa simu za bei rahisi kama kina tecno ama simu za zamani kama redmi note 8 zilikuwa zinatumia storage za Emmc 5.1
Huu ni utofauti wa speed baina ya Emmc 5.1, ufs 2.2 na ufs 3.1
Ufs 3.1 inasafirisha data hadi 1.2GB/s
Ufs 2.2 inasafirisha data hadi 600mbps
Emmc inasafirisha data hadi 250mbps
Jinsi storage inavyokuwa na speed ndio Jinsi program na vitu mbalimbali vinafunguka upesi, simu inakuwa smooth.
Ni bei gani hiiSimu za Amoled sio lazima ziwe na notification light waweza tumia display kama notification light, Zina uwezo wa kuwasha pixel chache na kuzima nyengine.
Na Nyuma kama ni plastic na frame za aluminium ngoja reviews zaidi.