Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Chief-Mkwawa ninaomba kidogo uniambie kuhusu redmi note 10 nikiingia gsm naona upande wa redio wameandika unspecified.je inayo au haina pia kuhusu sim kuipa kioo cha corning golila 3 je hailet madhara makubwa kama vile ingepewa 5? Je bei nilionunua jana ya promotion380 je kuna sim yeyote inayoizid spec hiissimu yenye bajeti hio
 
Kuhusu redio Ina maana hawana uhakika wako review wata update information.

Na hakuna utofauti sana kuhusu hizo gorilla mkuu,

Na 380 ni bei nzuri sana, kwa Sasa ni simu nzuri zaidi kwa hio budget,
 
Asante mkuu ngoja nisubir ujio wake naiman by april 5 hiv itakua mikononi
 
G8/G9 ni kama poco m3 tu, specs za kawaida sana Ila zinakaa na chaji.

M31 Pia specs za kawaida.

M51 ni habari nyengine ina display kali, processor nzuri na chaji inakaa.

Kuhusu ukaaji chaji ni baina ya M51 na G9, G9 ipo vizuri zaidi kwenye web browsing na M51 ipo vizuri zaidi kwenye video playback, overall M51 kwa kiasi kidogo sana inakaa na chaji, ni kama draw hivi.

Angalia test ya gsmarena hapa
Unaizungumziaje M51, Oppo reno5 na Redmi note 10 pro mkuu Chief-Mkwawa nataka nichukue moja kati ya hizo msaada tafadhari
 
hizi simu hata hazifanani bei mkuu, kwa order ya uzuri
-reno 5 5g
-M51
-reno 5 4g
-redmi note 10

reno 5 5g yenyewe bei yake ni around 1m mpaka 1.5m ni premium midrange inayokaribia bei za flagship

m51 na reno 5 4g bei zinafanana na specs pia hazijaachana sana, bei zake ni around laki 7 mpaka milioni 1 hivi

redmi note 10 yenyewe kama mdau hapo juu ame pre order kwa laki 3 na 80, hivyo unapata redmi note 10 4 kwenye reno 5 moja.

ushauri wangu achana na premium midrange, kama mfuko hauruhusu redmi note 10 ama 10 pro ni simu nzuri sana, na siku hizi zinatumia amoled (tena za samsung) zimezidi kuwa solid choice kwa midrange. kama mfuko unaruhusu na hio 1m ama 1.5m unayo tafuta budget flagship badala ya premium midrange, zipo simu kama Samsung galaxy s20 FE, Xiaomi poco F2 pro, oneplus 8 ama 8T etc.
 
Wadau naomba mnijuze,

Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Natamani nikutukane? Hivi unajua Oppo ana market share ya asilimia ngapi? Yuko Top 5 ya kampuni zinazouza sana simu duniani.

Hiyo takataka infinix hata top 10 haipo.

Infinix hana flagship hata moja.
 
hizi simu hata hazifanani bei mkuu, kwa order ya uzuri
-reno 5 5g
-M51
-reno 5 4g
-redmi note 10

reno 5 5g yenyewe bei yake ni around 1m mpaka 1.5m ni premium midrange inayokaribia bei za flagship

m51 na reno 5 4g bei zinafanana na specs pia hazijaachana sana, bei zake ni around laki 7 mpaka milioni 1 hivi

redmi note 10 yenyewe kama mdau hapo juu ame pre order kwa laki 3 na 80, hivyo unapata redmi note 10 4 kwenye reno 5 moja.

ushauri wangu achana na premium midrange, kama mfuko hauruhusu redmi note 10 ama 10 pro ni simu nzuri sana, na siku hizi zinatumia amoled (tena za samsung) zimezidi kuwa solid choice kwa midrange. kama mfuko unaruhusu na hio 1m ama 1.5m unayo tafuta budget flagship badala ya premium midrange, zipo simu kama Samsung galaxy s20 FE, Xiaomi poco F2 pro, oneplus 8 ama 8T etc.
Nashukuru ingawa umeiongelea note 10 badala ya note 10 pro Chief-Mkwawa
 
Chief-Mkwawa nisaidie kuhusu ufs 2.2 ni nini hasa nn ufanisi wake kwa note 10,pia hii device ina notification light na pia ni glass kwa nyuma yenye aluminium frame
 
Kwa note 10 pro pia bei haitaongezeka sana around 450k mpaka 500k hivi. Sema pia ni best kwa class yake, 120hz amoled display.

Kama Una note 9 pro upgrade yake si kubwa sana kwenye perfomance ni kama zinafanana, ila kama unatoka brand nyengine kwa same price point hii ni simu nzuri.
 
Chief-Mkwawa nisaidie kuhusu ufs 2.2 ni nini hasa nn ufanisi wake kwa note 10,pia hii device ina notification light na pia ni glass kwa nyuma yenye aluminium frame
Ufs ni kifupi cha universal flash storage, hizi ni Aina za storage zenye speed kubwa zinazotumika kwenye simu za bei ghali.

Zipo version nyingi Sana mfano kwa simu mpya kama s21 ultra unatumia ufs 3.1.

Kwa simu za bei rahisi kama kina tecno ama simu za zamani kama redmi note 8 zilikuwa zinatumia storage za Emmc 5.1

Huu ni utofauti wa speed baina ya Emmc 5.1, ufs 2.2 na ufs 3.1

Ufs 3.1 inasafirisha data hadi 1.2GB/s
Ufs 2.2 inasafirisha data hadi 600mbps
Emmc inasafirisha data hadi 250mbps

Jinsi storage inavyokuwa na speed ndio Jinsi program na vitu mbalimbali vinafunguka upesi, simu inakuwa smooth.
 
Simu za Amoled sio lazima ziwe na notification light waweza tumia display kama notification light, Zina uwezo wa kuwasha pixel chache na kuzima nyengine.

Na Nyuma kama ni plastic na frame za aluminium ngoja reviews zaidi.
 
Hii simu not10 ni sh ngapi
 
Simu za Amoled sio lazima ziwe na notification light waweza tumia display kama notification light, Zina uwezo wa kuwasha pixel chache na kuzima nyengine.

Na Nyuma kama ni plastic na frame za aluminium ngoja reviews zaidi.
Ni bei gani hii
 
Back
Top Bottom