DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
Mbona now alie inauzwa mpaka 2mil Chief-Mkwawa ebu nitoe tongotongo mpaka nimeogopa mkuuKwa note 10 pro pia bei haitaongezeka sana around 450k mpaka 500k hivi. Sema pia ni best kwa class yake, 120hz amoled display.
Kama Una note 9 pro upgrade yake si kubwa sana kwenye perfomance ni kama zinafanana, ila kama unatoka brand nyengine kwa same price point hii ni simu nzuri.
Kuna redmi na MI usichanganye ni simu mbili tofauti.Mbona now alie inauzwa mpaka 2mil Chief-Mkwawa ebu nitoe tongotongo mpaka nimeogopa mkuu
Ndiyo hii redmi note 10 pro mkuuKuna redmi na MI usichanganye ni simu mbili tofauti.
Wana tafuta tu watu wa kuwapiga ni simu mpya supply bado haijakaa Sawa subiri kidogoUS $996.00 | [World Premiere In Stock] Global Version Xiaomi Redmi Note 10 Pro Smartphone 108MP Camera Snapdragon 732G 120Hz AMOLED Display
Chief-Mkwawa hiyo hapo219.0US $ 20% OFF|[world Premiere In Stock] Global Version Xiaomi Redmi Note 10 Pro Smartphone 108mp Camera Snapdragon 732g 120hz Amoled Display - Mobile Phones - AliExpress
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Sawa mkuu, shukrani kwa ufafanuziWana tafuta tu watu wa kuwapiga ni simu mpya supply bado haijakaa Sawa subiri kidogo
Wana tafuta tu watu wa kuwapiga ni simu mpya supply bado haijakaa Sawa subiri kidogo
Kwa Samsung around hio budget unapata A31, kwa muono wangu si simu nzuri kwa value ya pesa.Chief, please advise smartphone nzuri kwa budget ya Tsh 500k. (new)
Brand ya Samsung, ila kama kuna other options I'm ready to listen.
Nakuwa mtandaoni muda mrefu na pia kusikiliza music kwaio nikipata yenye uwezo wa 4G, RAM kubwa na yenye long life battery itapendeza.
Ahsante
A52 and A72 zinazinduliwa tarehe 17 march itakua j5 wiki ijayo asubirie kidogo sio mbali!Kwa Samsung around hio budget unapata A31, kwa muono wangu si simu nzuri kwa value ya pesa.
Kama unaweza kusubiri redmi note 10 pro ni simu nzuri, ama hata plain redmi note 10, zote zinakaa na Chaji na display nzuri kwa matumizi ya kila siku.
Kama Samsung ni priority subiria Galaxy A52 4G ambayo ndio imetoka, yenyewe pia specs zake ni nzuri sana, sema hii itabidi uongeze hela kidogo.
Mkuu Chief-Mkwawa Chief-Mkwawa vp kuhusu Samsung A51Angalia na hii redmi note 10 mpya mkuu. Ina amoled na uzito almost Sawa na hio,
Cpu ya kisasa zaidi, band zote za Tanzania etc
A52 imetoka mkuu, way better than any midrange kwa price range yake, Kenya na iona kwa ksh 30,000 ambayo ni around 650,000.Mkuu Chief-Mkwawa Chief-Mkwawa vp kuhusu Samsung A51
Nimepata iyo a51 kwa bei around 470,000/= mpyaA52 imetoka mkuu, way better than any midrange kwa price range yake, Kenya na iona kwa ksh 30,000 ambayo ni around 650,000.
Kwa 470k si mbaya mkuu ni deal zuriNimepata iyo a51 kwa bei around 470,000/= mpya
Je si itakua ni bora?
Iyo a52 kwa 650k parefu kidgo mkuu
Mkwawa now 1+8 naweza idaka kwa bei gani ? ikiwa used pia vitu vipi kwa ujumla imeizidi redmi note10Kwa 470k si mbaya mkuu ni deal zuri
Oneplus zote ambazo sio Nord ni flagship mkuu, yoyote kuanzia 7 mpaka 9 inayo toka zitakua nzuri kushinda redmi 10, hizi Zina compete na MI 10, MI 11 etc.Mkwawa now 1+8 naweza idaka kwa bei gani ? ikiwa used pia vitu vipi kwa ujumla imeizidi redmi note10
Asante nimeiona moja kwa jamaa iko njema sana nimeipenda mno simu iko smooth sanaOneplus zote ambazo sio Nord ni flagship mkuu, yoyote kuanzia 7 mpaka 9 inayo toka zitakua nzuri kushinda redmi 10, hizi Zina compete na MI 10, MI 11 etc.
8 sasa hivi ni around $500 hivyo ni kama 1.2m hivi.
Oxygen os ipo smooth kuliko miui ama One ui ya Samsung, ipo close to stock android, ila unapata speed unakosa features, mambo mengi utakosa kwenye oxygen.Asante nimeiona moja kwa jamaa iko njema sana nimeipenda mno simu iko smooth sana
Hii imekaje kiongozi review zinaonesha sim imeanza lalamikiwa sana sanaOneplus zote ambazo sio Nord ni flagship mkuu, yoyote kuanzia 7 mpaka 9 inayo toka zitakua nzuri kushinda redmi 10, hizi Zina compete na MI 10, MI 11 etc.
8 sasa hivi ni around $500 hivyo ni kama 1.2m hivi.
Hizi ni opinions tu mkuu, wengine hata sielewi wanaongea nini.Hii imekaje kiongozi review zinaonesha sim imeanza lalamikiwa sana sana