Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

Kwa note 10 pro pia bei haitaongezeka sana around 450k mpaka 500k hivi. Sema pia ni best kwa class yake, 120hz amoled display.

Kama Una note 9 pro upgrade yake si kubwa sana kwenye perfomance ni kama zinafanana, ila kama unatoka brand nyengine kwa same price point hii ni simu nzuri.
Mbona now alie inauzwa mpaka 2mil Chief-Mkwawa ebu nitoe tongotongo mpaka nimeogopa mkuu
 
US $996.00 | [World Premiere In Stock] Global Version Xiaomi Redmi Note 10 Pro Smartphone 108MP Camera Snapdragon 732G 120Hz AMOLED Display
Chief-Mkwawa hiyo hapo
Wana tafuta tu watu wa kuwapiga ni simu mpya supply bado haijakaa Sawa subiri kidogo
 
Chief, please advise smartphone nzuri kwa budget ya Tsh 500k. (new)

Brand ya Samsung, ila kama kuna other options I'm ready to listen.

Nakuwa mtandaoni muda mrefu na pia kusikiliza music kwaio nikipata yenye uwezo wa 4G, RAM kubwa na yenye long life battery itapendeza.

Ahsante

Kwa Samsung around hio budget unapata A31, kwa muono wangu si simu nzuri kwa value ya pesa.

Kama unaweza kusubiri redmi note 10 pro ni simu nzuri, ama hata plain redmi note 10, zote zinakaa na Chaji na display nzuri kwa matumizi ya kila siku.

Kama Samsung ni priority subiria Galaxy A52 4G ambayo ndio imetoka, yenyewe pia specs zake ni nzuri sana, sema hii itabidi uongeze hela kidogo.
 
A52 and A72 zinazinduliwa tarehe 17 march itakua j5 wiki ijayo asubirie kidogo sio mbali!
 
A52 imetoka mkuu, way better than any midrange kwa price range yake, Kenya na iona kwa ksh 30,000 ambayo ni around 650,000.
Nimepata iyo a51 kwa bei around 470,000/= mpya
Je si itakua ni bora?
Iyo a52 kwa 650k parefu kidgo mkuu
 
Mkwawa now 1+8 naweza idaka kwa bei gani ? ikiwa used pia vitu vipi kwa ujumla imeizidi redmi note10
Oneplus zote ambazo sio Nord ni flagship mkuu, yoyote kuanzia 7 mpaka 9 inayo toka zitakua nzuri kushinda redmi 10, hizi Zina compete na MI 10, MI 11 etc.

8 sasa hivi ni around $500 hivyo ni kama 1.2m hivi.
 
Asante nimeiona moja kwa jamaa iko njema sana nimeipenda mno simu iko smooth sana
 
Oneplus zote ambazo sio Nord ni flagship mkuu, yoyote kuanzia 7 mpaka 9 inayo toka zitakua nzuri kushinda redmi 10, hizi Zina compete na MI 10, MI 11 etc.

8 sasa hivi ni around $500 hivyo ni kama 1.2m hivi.
Hii imekaje kiongozi review zinaonesha sim imeanza lalamikiwa sana sana
 
Attachments

  • Screenshot_2021-03-19-21-52-10-547_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2021-03-19-21-52-10-547_com.android.chrome.jpg
    125.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom