Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

Kwa uzoefu wangu na hizo shule mnazoita english medium sijui, nakuomba hiyo pesa hata ukishindwa kumnunulia kiwanja kapoze tu moyo na kinywaji.

Kipindi tunasoma hizi shule zilikuwa zinaitwa international lakini ulikuwa upumbavu ambao nilikuja kujua baada ya kuwa mkubwa.Hizi shule mnazokimbilia(english medium) nyingi zinadumaza bongo za watoto wenu(mkazo upo kwenye ufaulu sio growth ya mtoto).Mtoto anahitaji sana kukaa na mazingira kujifunza huko kabla ya kuanza kukazania huo uchafu wa darasani.

Kama huwezi kulipia shule ambazo wanatumia curriculum za IB,Cambridge au Oxford hiyo pesa yako kula hizo shule nyingine hazina tofauti yoyote(naongea kutokana na uzoefu wangu)
 
kwanza wewe ndo ulianza kuikuza milioni 3 kumshauri mtu anunue kiwanja, pili kutuma financial statement yako umezidi kudhihirisha uhohehae wako

kwahiyo unajiona kuwa wakala kwa mtaji wa 5M tayari ushakuwa na levels nilizozungumzia, niliijua akili yako ndo maana nilikwambia una akili za kimasikini

Thibitisha kama mimi ni wakala.

Thibitisha kama namba ya wakala inaandikwaga hivyo miamala yake
 
habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni.

kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ?

maana nimeona changamoto za ajira na graduates kukosa mitaji zimenitisha

View attachment 3677289
Tatizo unamsomesha Kayumba na utamtegemea anukunulie yeye kiwanja.
 
Thibitisha kama mimi ni wakala.

Thibitisha kama namba ya wakala inaandikwaga hivyo miamala yake
Dogo hiyo si lipa namba? kwamba hatujui kuwa mawakala wengi sahivi wanatumia lipa namba kutolea hela. unatuchukuliaje?

Dah nitachoka sasa kukuelekeza
 
Dogo hiyo si lipa namba? kwamba hatujui kuwa mawakala wengi sahivi wanatumia lipa namba kutolea hela. unatuchukuliaje?

Dah nitachoka sasa kukuelekeza

Nimekwambia thibitisha kama mimi ni wakala na thibitisha kama hiyo ni namba ya wakala.

Acha kuishi kwa assumptions.

Fatilia hata post zangu za nyuma. Utajua mimi ni mtu wa aina gani. Hii account ipo jamiiforums zaidi ya miaka 10.

Utapata idea ya mishe zangu. Na utajua kama hizo hela unaziziona nyingi wengine ni vipato vya kawaida sana kwetu
 
habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni.

kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ?

maana nimeona changamoto za ajira na graduates kukosa mitaji zimenitisha

View attachment 3677289
Ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga
 
Ukiona elimu ni ghali basi jaribu ujinga

Je shule za serikali wanafundisha ujinga ?

je mtoto akisoma shule za serikali mpaka vyuo vya serikali anakuwa mjinga?

je watu wote sisi tuliosoma shule za serikali ni wajinga ?
 
Kama unamuwekea akiba bila kumjengea uwezo wa kusimamia (capacity) ni bure, kuna uwezekano akiba yote uliyomuwekea ikapotea katika muda mfupi..

pia..hizi English medium za siku hizi ni bure tu...

Sema kama unataka kulipa mamilioni mwanao akaongee broken English basi sawa...kila mtu ana choice ya kufanya kile anachotaka kufanya juu ya pesa zake..
 
Back
Top Bottom