Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

logical decision ni hiyo ya kiwanja cha 3 m kila mwaka. Achana na mikwala ya hawa wazungu uchwara
 
0.8% ya milioni 12 ni 96,000 tu. Haifiki hata laki moja.

Hivyo maana yake mtu mwenye kipato cha milioni 12 kwa mwaka anapaswa atumie chini ya laki moja kwenye kusomesha mtoto

Ni typo mkuu what I mean was 8% which inakua 960k kama sikosei...
 
Msomeshe kayumba na akimaliza hivyo viwanja unavyomnunulia ataviuza vyote kwa hela ya hasara

kwahiyo kutokusoma english medium au kutokakua na degree ndio kutakufanya uwo mpumbavu kiasi hicho? acheni dharau hizo
 
Aina na Kiwango cha elimu unachompatia mtoto wako kiendane na malengo na uwezo wako.Kusomesha mtutu shule za English medium haimaanishi kwamba anapata elimu BORA.Kama uwezo upo Basi mpeleke mtutu asome mitaala ya kimataifa,akihitimu Mpeleke Nje ya nchi katika vyuo vya kimataifa akaifahamu na kuitwala dunia.

Iwapo sasa mtoto wako na wewe mwenyewe bado hamjafika level hiyo mpeleke tu shule ya kidumu.Hakuna kitu kibaya kama mtoto kuwa na Kiingereza kizuri halafu hana Maisha ya kueleweka wala connection za kueleweka.

NB:Mtoto kama ana bidii hata akisoma Kayumba anatoboa kabisa.Kuhusu kununua Ardhi nunue kadiri uwezavyo tena maeneo mkubwa kisha otesha miti ya kutosha kabisa.Hakuna kiwanda kinachozalisha ardhi mpaka hapo Elon Musk atakapoweza kutupeleka Mwezini na anga za mbali tukashike viwanja.
Wewe umeongea
 
Kwa nini usomeshe mtoto English medium ya 3M na wewe huna uwezo?
mbona zipo English medium za watu wa kawaida around 1m to 1.2m
Hiyo hela nyingine, mwekee kwenye account kwa ajili ya kumuendeleza.
 
habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni.

kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ?

maana nimeona changamoto za ajira na graduates kukosa mitaji zimenitisha

View attachment 3677289
Waliwahi kuongea wahenga kuwa kama unadhani elimu ghali jaribu ujinga.
 
Kwa Ilala kuna
Olympio
Diamond
Bunge
Zanaki
Kisutu

Kinondoni kuna
Mwenge
Michael Urio
Oysterbay
Makumbusho
Makongo
Ali Hassan Mwinyi

Zipo nyingi kwa hapa Dar. Kuanzia ada, chakula na usafiri, kwa ujumla kwa mwaka imezidi sana ni 1.2 ila mara nyingi inagotea laki 8,9 hadi 1m.
Na kwa Upande wa Temeke !?
 
Waliwahi kuongea wahenga kuwa kama unadhani elimu ghali jaribu ujinga.

Je shule za serikali wanafundisha ujinga ?

je mtoto akisoma shule za serikali mpaka vyuo vya serikali anakuwa mjinga?

je watu wote sisi tuliosoma shule za serikali ni wajinga ?
 
Hakuna kitu kizuri kama basic,,mtoto unapomuwekea msingi mzr wa elimu huko mbele kunakuwa kwepesi sn..
Mtoto wa English medium hata akienda form 1 shule za serikali bado anakuwa tofauti sn na wengine sababu tayari ana basic toka chini..
Kwanza atakuwa anaelewa anachofundishwa na sio kukariri.
-lugha atakuwa anajuwa vzr nk.
Kusoemesha mtoto kayumba ni sawa na kujenga nyumba ya ghorofa ila msingi wake umeweka udongo.

Usiifikirie sn pesa mkuu,,elimu ni msingi wa maisha ila sio elimu hyo ya kayumba..
Watu wanasomesha kayumba sababu hakuna jinsi ila sio elimu nzr Kwa mtoto..
Elimu gani wazazi mnachangia pesa ya mwalimu wa science? mathematics nk.
Mkuu mm nadhani tunachengana kitu kidogo sana Mimi sijasema watu wasipeleke watoto EM mm nimesema usilazimishe kumpeleka mtoto kwenye hizo shuleni hali ya kuwa kipato chako ni cha mawazo,kama hela zipo basi mpeleke lakini kama maisha yako ni ya kubangaiza usiingie kwenye madeni na mikopo au kuuza mashamba eti mtoto asome EMS.

Alafu kingine usicho kielewa mkuu tatizo la elimu ya Tz sio mazingira ya kujifunzia bali tatizo la elimu ya Tz mtaala wake wa elimu umesha pitwa na wakati Kwa hiyo hata mtoto wako akisomea mazingira lafiki na akafauru vizuri bado huo ufauru wake hauna msaada wowote kwenye maisha yake nje ya kuajiliwa jaribu kulelewa hilo.
 
Dogo unaona Level ya kushika milioni 5 ni hela nyingi sana?

Wenzio hizo ni hela za kukaa kwenye simu za mkononi tu. Hata bank haziqualify kukaa.

View attachment 3677629

Tukikuonesha salio za bank huchelewi kutuita mafisadi
sasa mbona una mada za kimasikini dogo?

anyway, kama milioni 5 yenyewe unaipata kwa kudunduliza elfu 35 bado safari yako ni ndefu sana
 
sasa mbona una mada za kimasikini dogo?

anyway, kama milioni 5 yenyewe unaipata kwa kudunduliza elfu 35 bado safari yako ni ndefu sana

Wewe ni mjinga kweli. Hujui hata kina vodacom, airtel na wengineo wanakusanya buku buku na jero za wateja. Hujui hata kina azam wanakusanya hela ndogo ndogo ndio zinajaa kuwa mabilioni

Hujui hata ulimwengu wa biashara unakwendaje?
 
Kama nakuona unavyoibadilshia matumizi hiyo hela huku dogo akipambana zake kayumba.
 
Wewe ni mjinga kweli. Hujui hata kina vodacom, airtel na wengineo wanakusanya buku buku na jero za wateja. Hujui hata kina azam wanakusanya hela ndogo ndogo ndio zinajaza mabilioni

Hujui hata ulimwengu wa biashara unakwendaje?
anyway, sikutaka majibizano na mtu mwenye akili ndogo kama zako. niliongelea levels za kushika milioni 5 ukaenda kuleta sms ya muamala. hivi unajua maana ya levels kweli? sikuuliza kama umewahi kushika milioni 5, badala yake umeenda ku download sms ukanipachikia, ya nini?

Hata maana ya reply yangu hukuielewa masikini.

kidogo nisahau aisee, mjinga mwenyewe
 
Thibitisha kama nimedownload. Unahisi hapa jamiiforums watu ni wapuuzi na hohe hae na hawana maisha ndio maana uliikuza sana milioni 5 kama ni hela nyingi sana kwamba mtu kama mimi hawezi kuwa nayo. Sababu tunajenga hoja za kupinga private schools za kipigaji

Nenda kasome tena post yako utajionea nani alianzisha hiyo drama ya kushika milioni tano
 
Je shule za serikali wanafundisha ujinga ?

je mtoto akisoma shule za serikali mpaka vyuo vya serikali anakuwa mjinga?

je watu wote sisi tuliosoma shule za serikali ni wajinga ?
98% makazini ni ambao tumesoma gavoo.

Sio kila mtoto atakuwa na same pathway ya maisha.

Peleka shule za kawaida, atakayefaulu somesha mpaka mwisho, atakasuasua arudi mtaani mpe maisha mengine.

Shida siku hizi tunafosi kila mtoto afike chuo kikuu, kitu ambacho ni uongo!
 
Mkuu mm nadhani tunachengana kitu kidogo sana Mimi sijasema watu wasipeleke watoto EM mm nimesema usilazimishe kumpeleka mtoto kwenye hizo shuleni hali ya kuwa kipato chako ni cha mawazo,kama hela zipo basi mpeleke lakini kama maisha yako ni ya kubangaiza usiingie kwenye madeni na mikopo au kuuza mashamba eti mtoto asome EMS.

Alafu kingine usicho kielewa mkuu tatizo la elimu ya Tz sio mazingira ya kujifunzia bali tatizo la elimu ya Tz mtaala wake wa elimu umesha pitwa na wakati Kwa hiyo hata mtoto wako akisomea mazingira lafiki na akafauru vizuri bado huo ufauru wake hauna msaada wowote kwenye maisha yake nje ya kuajiliwa jaribu kulelewa hilo.
Tuanzie kwenye suala la kipato, ni kwl kama huna kipato kikubwa usiingie kwenye mikopo kwa ajili ya kusomesha English medium.
Katika hoja ya mazingira hapo nakupinga mkuu,
English medium zina mazingira mazuri sn ya mtoto kusoma na pia watoto wanafatiliwa kwa karibu sn maendeleo yao ya usomaji kwa sababu ni wachache .
Huko huwezi kuta zile kauli za walimu wanazowaambia watoto wa shule za kayumba kama '"usipoingia darasani mimi sipati hasara,"
"Hata usipoandika mimi mshahara wng upo pale pale ",, hizi kauli utazikuta kwa walimu wa kayumba pekee..
English medium mtoto anafatiliwa na kutiwa moyo pale anaposhindwa au kama kuna changamoto zozote za kusoma.
-Mtoto wa English medium akimaliza std 7 anakuwa na msingi mzr wa English ya kuanzia secondary school..hata kama atasoma kayumba sec..
-Hoja ya elimu kwa vitendo hyo ni kote ,hata huko IST school,mtoto akimaliza std 7 elimu yake haiwezi kumsaidia..
Shule ni stage mkuu.
 
Thibitisha kama nimedownload. Unahisi hapa jamiiforums watu ni wapuuzi na hohe hae na hawana maisha ndio maana uliikuza sana milioni 5 kama ni hela nyingi sana kwamba mtu kama mimi hawezi kuwa nayo. Sababu tunajenga hoja za kupinga private schools za kipigaji

Nenda kasome tena post yako utajionea nani alianzisha hiyo drama ya kushika milioni tano
kwanza wewe ndo ulianza kuikuza milioni 3 kumshauri mtu anunue kiwanja, pili kutuma financial statement yako umezidi kudhihirisha uhohehae wako

kwahiyo unajiona kuwa wakala kwa mtaji wa 5M tayari ushakuwa na levels nilizozungumzia, niliijua akili yako ndo maana nilikwambia una akili za kimasikini
 
Back
Top Bottom