Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

Asante. Umeandika mengi mazuri ila umetoka nje ya mada kuu. Kunijibu swali langu la options hizo mbili nilizouliza ipi ni sahihi kwako ndio niende nayo
Kama uwezo ni mdogo, hiyo 3M chukua 1M mtoto aende shule ya maana sio kidumu na mfagio, zipo english medium nzuri tu kwa hiyo amount. 2M inayobaki weka kwenye investment ambazo zina risk ndogo mfano ufugaji n.k, nahisi nimejaribu kujibu swali lako mkuu.
 
Kunadogo langu limepiga kuanzia chekechea ad form zaidi ya milion 20 zimekatika,afu limepata division 2 yaani hata wa Kayumba wamempiga

Kama mzee angekua ananunua ndama wa laki 3 saiv angekua na ng'ombe 70 miaka zaidi ya kumi yangekuwa makubwa anauza hata kwa m3 au 1.5 angepiga zaidi ya milion 100 ungefaa kua mtaji wa mtoto angemdakia hata kusta asimamie

Dogo limemaliza shule limekuja kufuga rasta tu na kuvaa majeje limekaa home tu

Lengo la kupeleka private aje kua daktari,ila sasa mambo yamekua tofauti
 
Siri hii hapa Nenda Oxford na Yale takwimu zinaonyesha wanafunzi karibia asilimia 80 na zaidi wametoka familia zenye uwezo. Na pia wanafunzi hao elimu yao ya msingi ilikuwa ya maana sana yaani zile shule ambazo lile tabaka la juu la asilimia tano wanaweza mudu.
wanafunzi wanaosoma vyuo hivyo wakimaliza masomo wanapata fedha zaidi ya mara tano ya wanafunzi waliotoka vyuo vya kawaida na wao watoto wao wanawapeleka shule za gharama kama wao walivyopekwa. ni mzunguko Dunia duara.
 
Kunadogo langu limepiga kuanzia chekechea ad form zaidi ya milion 20 zimekatika,afu limepata division 2 yaani hata wa Kayumba wamempiga

Kama mzee angekua ananunua ndama wa laki 3 saiv angekua na ng'ombe 70 miaka zaidi ya kumi yangekuwa makubwa anauza hata kwa m3 au 1.5 angepiga zaidi ya milion 100 ungefaa kua mtaji wa mtoto angemdakia hata kusta asimamie

Dogo limemaliza shule limekuja kufuga rasta tu na kuvaa majeje limekaa home tu

Lengo la kupeleka private aje kua daktari,ila sasa mambo yamekua tofauti
Umenikumbusha dada yetu alikuwa anakataa kwenda shule kwa bus anakatiwa ndege matokeo sasa🙌🏾
 
Kunadogo langu limepiga kuanzia chekechea ad form zaidi ya milion 20 zimekatika,afu limepata division 2 yaani hata wa Kayumba wamempiga

Kama mzee angekua ananunua ndama wa laki 3 saiv angekua na ng'ombe 70 miaka zaidi ya kumi yangekuwa makubwa anauza hata kwa m3 au 1.5 angepiga zaidi ya milion 100 ungefaa kua mtaji wa mtoto angemdakia hata kusta asimamie

Dogo limemaliza shule limekuja kufuga rasta tu na kuvaa majeje limekaa home tu

Lengo la kupeleka private aje kua daktari,ila sasa mambo yamekua tofauti
Inachekesha na kuhuzunisha kwa pamoja!
 
Unaishi mkoa gani? Zipo English Medium za serikali mkuu. Dar zimejaa tele, ada ni laki 4 tu MWAKA.
1790316093901.png
 
Mpe mtoto elimu bora

Fanya kile kilicho ndan ya uwezo wako acha kusikilizq ushaur wa watu kwenye maswala muhimu ya watoto wako narudia tena ni watoto wako wewe ndo mwenye maamuzi usiumize kichwa kujipa moyo kupitia Shaur za watu
 
Kama hii ni sehemu ya utafiti endelea kufanya hivyo, ili mwisho wa siku ufanye maamuzi kutokana na utashi wako wala sio shinikizo la watu.

Haya maisha tusiishi kwa kuangalia nani atasemaje, ishi kwa misingi yako.
 
Kuna notion wengi tunayo, kwamba mtoto akienda shule na wewe ukishalipa ada umemaliza jukumu lako, mtoto anahitaji ukaribu wako, uongozi wako, mafundisho yako, awe EMS au GS. Akitoka shule hakikisha unakagua kila kitu, kuanzia madaftari yake hadi nguo zake.

Sasa hata kama atakuwa GS unaweza kufanya follow up ya mtoto na akapata mafanikio makubwa sana kuliko hata huyo anayeenda EMS.

Tusifikiri kazi yetu ni kulipa ada tu.
 
Back
Top Bottom