mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Kuna EMS kibao za 1M, zipo kawaida tu. Kumbuka kule unalipia miundombinu, elimu bora bado ni ndoto Tanzania.
Fursa za kweli zipo kwenye shule za kimataifa. Kama huwezi kumpeleka huko usihangaike sana. Shule ya 1M na ya 5M kitu ni kile kile. Wote wanasoma NECTA na wote watakutana UDOM na TAMISEMI.