IndeedOoooh 😶
NO REFORMS, NO ELECTION.Hey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Wakuu huyu kadanganya😁Mpole
😅😅 nachangamsha gengeWakuu huyu kadanganya😁
Mimi ni mlevi wa pombe tu .
Na huruma sana sema bas tu haya maisha yananitoa mchezoniMpaji Mungu 😁😁😁 unacheka nini Njoo useme wewe ni nani?
Mh!Mpole