😅😅 haa!DNA yangu inamatch naya TRUMP
Asante kwa kushiriki!Ndio ni mjeuri , ukimya wako pia ni wakijeuri
Kweli kabisa...akili zangu zinawazidi wengi sana hawana akili yenye tija kama yanguMMmhh !
Kabisa bro 😂😂Napenda ugomvi kuliko kula.
Kijana Masikini anamjua wana uhusiano wa karibu!Nani?
Sawa 😅, mbishi kwani wewe ni mtu wa Kigoma? (Jokes)Mimi ni mkimya, mtaratibu kwa watu ambao sijawazoea ila kwa nilio wazoea ni mchangamfu, mcheshi, mbishi pia 😁
Si ndio banaPinga maagizo ya Mungu uende jehanamu
Unawajua wadigo, basi mimi ni mmoja wao😎Sawa 😅, mbishi kwani wewe ni mtu wa Kigoma? (Jokes)
Mimi mtu akiniudhi aibu zinapepea haijalishi ni nani naruka nae baada ya hapo naanza kulia 😆
[/QUOTE