Mimi naenda Kama Mandela kwa sasa ninawasemehe makaburu walioniweka jela 27 yrs Ila nashindwa kumsamehe mke wangu aliyenisalitiHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
We utakuwa mzaramo nini 😁😁Safi
🥂Mno yani siwezi ishi bila pombe
Katoto ka afu mbili hako 🤣Aisee kumbe wee bwana mdogo 1994 upo standard 3🤣🤣🤣🤣
Mpka iniue asee🥂
Usikiache kile kinachokupa FURAHA.
Umeona uanze kunitukana sasa 😄😅We utakuwa mzaramo nini 😁😁
Hakiwezi kukuua kama unakunywa kistaarabu.Mpka iniue asee
Mwaka huo nipo mlimani nadondosha nondo za engineering...huku napata chai ya madhiwa na mkate wenye siagi na asaliKatoto ka afu mbili hako 🤣
Mpka iniue asee
Sure , je wewe unachamba koo?Hakiwezi kukuua kama unakunywa kistaarabu.
Mwamba anakunywa kwa stress kinouma 😅
Heri yako wewe umeshajua kitakachokuua mkuuMpka iniue asee
Mimi ulevi wangu maziwa. 😁Sure , je wewe unachamba koo?
hapo mafile yanakimbizana kichwani sio poaMwamba anakunywa kwa stress kinouma 😅