Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Kingine wewe ni keyboard warrior.

Mtandaoni ni mbabe na mtata sana,ila uhalisia ndiyo kama ulivyoeleza. Somehow tunafanana,japo Mimi ni wa kiume na Nina asili ya uongozi. I mean popote pale ninapokuwa automatically inatokea Mimi huwa kiongozi wa wengi hapo nilipo. Nina unyerere.

Ukiniangalia kwa jicho la kutoni-judge utaelewa huwa i speak my mind/sina tabia ya unafiki... si-comment kitu anachotaka kusikia mtu,na-comment nachofikiria ni sawa kwa upande wangu

Tangu 2016 nipo humu na sikumbuki kama niliwahi kuanzisha ugomvi na mtu yoyote hapa JF....nachofanya nakupokea vile umekuja

Najijua ni mwenye aibu lakini sio mnyonge,huu ni uhalisia nilio nao hata ulimwengu wa uraiani
 
Yani nina hasira za kuzira na kususa haraka mnooooo!!

Nipo Satoh tunapishana tu labda!

Cc Smart911
Wacha niendelee kukupa fact kadili unavyofunguka.

Kingine Watu wa aina yako(wenye hasira na kuzira) Huwa mna udhaifu kwenye swala Zima la kupenda. Huwa mnapenda sana,na mtu asipowaelewa anapata shida kuishi na watu dizaini yako.

Uzuri mnazira na hasira ila hamuweki visasi moyoni. Unazira/kununa asubuhi ,mchana unacheka na kusahau kilichotokea asubuhi.

Udhaifu wenu,mnapenda kudeka sana,na mtu asipowaelewa hasira na kuzira huibuka.

Msalimie Mr smart.
 
Ukiniangalia kwa jicho la kutoni-judge utaelewa huwa i speak my mind/sina tabia ya unafiki... si-comment kitu anachotaka kusikia mtu,na-comment nachofikiria ni sawa kwa upande wangu

Tangu 2016 nipo humu na sikumbuki kama niliwahi kuanzisha ugomvi na mtu yoyote hapa JF....nachofanya nakupokea vile umekuja

Najijua ni mwenye aibu lakini sio mnyonge,huu ni uhalisia nilio nao hata ulimwengu wa uraiani
I feel you.
 
Wacha niendelee kukupa fact kadili unavyofunguka.

Kingine Watu wa aina yako(wenye hasira na kuzira) Huwa mna udhaifu kwenye swala Zima la kupenda. Huwa mnapenda sana,na mtu asipowaelewa anapata shida kuishi na watu dizaini yako.

Uzuri mnazira na hasira ila hamuweki visasi moyoni. Unazira/kununa asubuhi ,mchana unacheka na kusahau kilichotokea asubuhi.

Udhaifu wenu,mnapenda kudeka sana,na mtu asipowaelewa hasira na kuzira huibuka.

Msalimie Mr smart.
Umesema kweli Kabiisa doctor.

Nikipenda ile real napenda vibaya sana na kinyume chake ni true😁😁😁!

Cc Smart911
 
Maziwa yanaua figo , siku moja nikupeleke kwetu moshi kwa mama ukaoge na maziwa😅
Maziwa kuua figo ndo naisikia leo, ninachojua kunywa maziwa kuliko kithiri kunaingilia absorption ya madini chuma, hivyo kufyonzwa kwa uchache.

Huko uchagani si watanishangaa sana, wao wapo na majagi ya mbege mimi nahangaika na majagi ya maziwa😁.

Wataona huyu “Chasaka” mwenyewe.
 
Back
Top Bottom