Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Wacha niendelee kukupa fact kadili unavyofunguka.

Kingine Watu wa aina yako(wenye hasira na kuzira) Huwa mna udhaifu kwenye swala Zima la kupenda. Huwa mnapenda sana,na mtu asipowaelewa anapata shida kuishi na watu dizaini yako.

Uzuri mnazira na hasira ila hamuweki visasi moyoni. Unazira/kununa asubuhi ,mchana unacheka na kusahau kilichotokea asubuhi.

Udhaifu wenu,mnapenda kudeka sana,na mtu asipowaelewa hasira na kuzira huibuka.

Msalimie Mr smart.
Upo sahihi kabisa , hawa ni watu wazuri sana, ogopa mtu hanuni akasiriki yeye anakua kimya tu.
 
Maziwa kuua figo ndo naisikia leo, ninachojua kunywa maziwa kuliko kithiri kunaingilia absorption ya madini chuma, hivyo kufyonzwa kwa uchache.

Huko uchagani si watanishangaa sana, wao wapo na majagi ya mbege mimi nahangaika na majagi ya maziwa😁.

Wataona huyu “Chasaka” mwenyewe.
Lijamaa liongo kweli 🤣
 
Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
Katili,jeuri,lugha mbofumbofu,Janja janja,Dlumati,Levi,Mwizi,Jambazi....
 
Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
Picha ya kinafsi ndiyo changamoto kubwa, (self-image) aliyo nayo binadamu hii ni tabia ambayo binadamu huijenga kwa muda mrefu ambayo kuibadilisha huchukua muda

Traits unaweza ukazitambua na kuziishi, (assimilate)
 
Back
Top Bottom