Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,049
- 6,903
Inabid apelekwe kwa mwamposaMtu unakuta miaka yote yupo duniani na hanywi pombe 🤔 anachezea nafasi kizembe sana
Inabid apelekwe kwa mwamposaMtu unakuta miaka yote yupo duniani na hanywi pombe 🤔 anachezea nafasi kizembe sana
Sisi tunakunywa huku na peponi tunakunywa , hapo ni gg ya both team to score bwasheeAna matumaini na pombe atakayoikuta peponi
🤔 aiseee Mpaji Mungu njoo kwanza ujibu hapa 🤣🤣🤣Meku wewe na Chica Gee na watabiria Kuwa kama Romeo na Julieti🤔
Rasta fanya kweli , tule mbege🤔 aiseee Mpaji Mungu njoo kwanza ujibu hapa 🤣🤣🤣
Ila ndo vizuri! Mimi mtu anayeongea sana huwa ananifanya nihisi kichwa kinaniuma.
Timu mojaMimi ni mlevi wa pombe tu .
Palestine na IsraelShameless na mtu wa utani sana.
Safi hii timu ni ya upendo sana bwasheeTimu moja
Na itadumuSafi hii timu ni ya upendo sana bwashee
Acha dharau bwashee sisi ni pipoMimi sitabiriki kabisa wengi waliojaribu kuniona vile wao waliona waliumia sana.
Nina roho moja ya kupotezea mtu yeyote yule haijarishi alikuwa na umuhimu gani yaani ukiyakanyaga umeyakanyaga tu
😀 daaah sawa Mkuu, mimi mzima kabisaa sasa ilikuwaje ukapeperusha ndege mzuri hivyo?Daah aisee Gee, kuna pisi yangu kitambo kidg yenye jina hili.
Alikua binti mpole, asie na makuu wala maneno mengi.
Ni mtani na mcheshi hasa akiwa na mimi.
Umenikumbusha mbali sana we binti.
Enewei salamaleku Gee
Hapa kuna kupigwa. Kwahiyo wewe ni Bikira Mariam?Nina aibu hata kumwangalia mtu usoni siwezi, hapo bado sijaambiwa niongee.
Keyboard inanisaidia sana!
Watu wa pombe mbinguni moja kwa mojaNa itadumu