Ukarimu, upole na ukaliHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
GhorofaniWatu wa pombe mbinguni moja kwa moja
Hv kumbe humu Jf napo walokole mpogoMimi mlokole msinisumbue 😹
Hahahaaha, occasionally..Palestine na Israel
Kila mtu anajifanya mpole , 🤣🤣🤣🤣 aiseee nyie hapana kwa kweli😛Upolee
Nina aibu usiombeHapa kuna kupigwa. Kwahiyo wewe ni Bikira Mariam?
Maana kama hata kumuangalia sura mtu huwezi, unaiwekaje sasa?? Huku umefumba macho au?
Actually watu wana nielezea ivyo ila mimi sio mpole kabisa nikikuzoeaKila mtu anajifanya mpole , 🤣🤣🤣🤣 aiseee nyie hapana kwa kweli😛
😁😁😁 siwezi sema chochote bila mwanasheria wangu 🙂Rasta fanya kweli , tule mbege
Unanionea.
Acha dharau sisi ni pipo😁😁😁 siwezi sema chochote bila mwanasheria wangu 🙂
Kumbe wabishi huwa wanajijuwaMbishi apa😁
Nakuonea au siooo😏Unanionea.
Dharau ndiyo kitu sijabarikiwa kabisa, Mpaji Mungu njoo uniteteeAcha dharau sisi ni pipo
Wee Mlevi seems una kaukorofi fulani hivi 😁Nakuonea au siooo😏