Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
Aisee Mimi ni kwenye kunyosha mambo huwa sidanganyi hata kama utani panga lazima nikupe msimamo wangu. Kudanganya siwezi maana hiyo inakuwa ni temporary solution na tatizo litabaki palepale tu.

Wapo wanaoelewa na wapo ambao huwa hawaelewi
 
Hahhahahha pombe ina vibe tamu sana unaweka shida chini unatupa mikono juu😅😅😅
Uko sahihi pombe Inaweka shida chini juzi kuna mlevi nilimsikia kunywa pombe siyo uoga wa maisha lakini kujenga nyumba ni uoga wa maisha kumbe ulichosema ni kweli kwamba pombe zinakufanya uzitue shida chini kwa muda na kufurahia ukimaliza pesa shida ulizo zitua unashindwa kuzinyanyua
 
Back
Top Bottom