min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sasa kama nimesha jenga hata zaidi ya nyumba moja na watoto wangu wasoma shule za maana nisinywe pombe bwashee? Kila mtu ana malengo yake mekuUko sahihi pombe Inaweka shida chini juzi kuna mlevi nilimsikia kunywa pombe siyo uoga wa maisha lakini kujenga nyumba ni uoga wa maisha kumbe ulichosema ni kweli kwamba kwamba pombe zinakufanya uzitue shida chini kwa muda na kufurahia ukimaliza pesa shida ulizo zitua unashindwa kuzinyanyua