Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Na member wengi sana wa jf ni ma introvertNina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert