Mkimya
Mi ndiye naamua uwe rafk na unizoee
Mwenye huruma na utu
Sishobokei mtu hata ukiwa boss wng
Tukiwa kwny kund la watu ambao tunakutana kila sku labda kikaz au story tu bs mara zote huwa nakuwa star watu wananikubali tu naweza kumfunika mpk kiongoz.
Spend kudhurumu mali ya mtu
Napenda sn kushnda mechi zng peke yng.
Kiongoz jasiri mwenye nguvu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.