Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Kufwa haukufi, ila cha moto utakiona🤣🤣Itakuwa ushachoka kuniona jukwaani
Kufwa haukufi, ila cha moto utakiona🤣🤣Itakuwa ushachoka kuniona jukwaani
Pole yanguKufwa haukufi, ila cha moto utakiona🤣🤣
Uvivu tu wa kusemaSitaki🤣
🤣🤣🤣🤣 ndio sisemi sasa.Uvivu tu wa kusema
Ashante shana🤣🤣🤣🤣 ndio sisemi sasa.
mi ni introvertHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Nipe sifa yako kuu moja...Nimepita tyri
kususia vitu faster na kiburi juuNipe sifa yako kuu moja...
Na wewe hapo mpuuziaji .....nishakusemeaNipe sifa yako kuu moja...
Nimepuuzia nini tena?Na wewe hapo mpuuziaji .....nishakusemea
Karibu...1.📸
2.📞
3.💰