Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Nilikua mlugaluga, walio serious wakaoa😀 daaah sawa Mkuu, mimi mzima kabisaa sasa ilikuwaje ukapeperusha ndege mzuri hivyo?
Nilikua mlugaluga, walio serious wakaoa😀 daaah sawa Mkuu, mimi mzima kabisaa sasa ilikuwaje ukapeperusha ndege mzuri hivyo?
Sisi tunakunywa huku na peponi tunakunywa , hapo ni gg ya both team to score bwashee
Pole yakoNilikua mlugaluga, walio serious wakaoa
Miss you more love😍😍Nimekumiss mamsap
Wewe ndiye mimi kabisa! Hasa nilipokuwa kwenye ujana ndiyo ilikuwa balaa kabisa! Angalau baada ya kuwa mtu mzima nilijitutumua!Upole unatufanya baadhi ya watu watupande kichwani
Pole yangu😂Dipresheni sio kabisa🤣
😍🥰🥰Miss you more love😍😍
Dipresheni inaweza kukufanya uone vitu ambavyo havipo🤣Pole yangu😂
Ni hallucinations 😃Dipresheni inaweza kukufanya uone vitu ambavyo havipo🤣
Mbona kama tunafanana hiiHey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
🤣🤣🤣 si ndio! Zimemfanya Half american ajione kapole wakati kameshindikana tangu darasa la piliNi hallucinations 😃
😂 mimi ni mstaarabu sana hata comments zangu zinathibitisha hilo🤣🤣🤣 si ndio! Zimemfanya Half american ajione kapole wakati kameshindikana tangu darasa la pili
Na nnayo kweliDipresheni inaweza kukufanya uone vitu ambavyo havipo🤣
Nakubali
Tunaweza Kupata kahawa jioni ya Leo😎Nakubali