mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 2,114
- 3,465
Hapa mbona kama unanijua🤣Nina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert
